Kajol mtoto mzuri wa kihindi kaisifia wewe nanii usiisifie[emoji23]Crash landing on you mmh tofauti na inavyosifiwa kwangu ya kawaida mno.
Embu nisaidieni site ya ku download
Kwa sasa ndio naitumia kushusha k-drama ipo vizuri mnoEmbu nisaidieni site ya ku download
Mngejaribu hizi hapaTupo wengi kumbe..
Ni zabure mkuuHizi link za kulipia?
Drama ziko nyingi kali,😂😂😂Basi bana ngoja nirudi kwa wazungu sasa
Jamani naombeni mniambie kitu ya kutizama tena.yaaaan kitu hot zaidi ya penthouse
Mkuu naww huwa unapenda zakichina? Mimi hapo ndio penyewePrincess Agents, ni ya Kichina lakini. Nzuri sana
Apa sijaona mbili,ngoja nijaribu kuzicheki.asanteeeDrama ziko nyingi kali,
Kama ni za mjini kazi ni kwako.
3 days
Two weeks
Fashion King
Fiery Priest
Sweet home
Mr. Sunshine
Strong Woman Bong su
Road No 1
Money Game
N.k
Mkuu naww huwa unapenda zakichina? Mimi hapo ndio penyewe
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Giant iko vizuri mkuuMama hapo katika East of Eden...kama umeielewa ichukue izifishe mara 3 jibu lake ni drama matata ya mkorea inaitwa GIANT....co ya kukosa kabisaaaa
We ukitaka list ya series za mjini nitakupa.Apa sijaona mbili,ngoja nijaribu kuzicheki.asanteee
Mi nlichofanya narudi Kwa wasanii wangu pendwa naangalia drama zao nisizoona huku na Mr. Queen na she would never know. Tusubiri Makdang yetu tareh 19Naombeni kitu ingine ya kutizama,mr queen iko vizuri.
We ukitaka list ya series za mjini nitakupa.
We nijuze ni mpenzi wa Genre gani
Ngoja na mimi nifanye hivyoMi nlichofanya narudi Kwa wasanii wangu pendwa naangalia drama zao nisizoona huku na Mr. Queen na she would never know. Tusubiri Makdang yetu tareh 19
Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
Now natamani action or romance.natazama almost genre zote but kwa now nataka Kati ya hizo mbiliWe ukitaka list ya series za mjini nitakupa.
We nijuze ni mpenzi wa Genre gani