Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tupo wengi kumbe..
Mngejaribu hizi hapa
She would never know(ongoing ya mwaka huu)
Yong pal (complete Ni ya kitambo kdogo)
Tell me what u saw(complete ya mwaka jana)

wakati tukingoja project kali Kama vile
Mouse
Vincenzo

Nakadhalika...

Wakuu nani keshaianza hii *LOVE SCENE NUMBER"
Washapandisha episode ya kwanza
 
Back
Top Bottom