Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimetokea kuwa mpenzi wa Korean Drama mara baada ya kuangalia hii inaitwa The Heirs, daaah imeniteka akili aisee, ina kila kitu.

Wakuu kama kuna kali zaidi ya hii mniambie nikazitafute. Sipendi zinatawaliwa na mangumi au mauchawi, nadhani mnanielewa.

Asanteni.
 
A man from another star.
Stranger doctor.
City hunter.
Yong pal.
Healer.
 
City hunter na anaenivutia ni Le Min Ho "dr lee" na nyingine ni East of Eden hii ilinifanya nikalia sanaaa na kwikwi juu kuja kutahamaki kumbe nawatch movie
 
descendant of the sun...one of the best drama i av ever seen...
best drama in 2016
 
Nimepita sehemu nikakuta mtu anaangalia Six flying Dragon...
Nimeanza kuipenda itabidi nianze kuitafuta
 
Mkuu kaangalie Temptation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…