Inaisha lini[emoji3] tusubir
Naiweka kwenye listNzuri Yan hapa nairudia ep ya 8 inachekesha mno. Sema inataka utulivu Kwa ep 2 za mwanzo unaweza usielew mwandish anaruka na genre gan
Hiyo man in a veil ni nzuri?Hii sijaiangalia..bado nipo na Man in a veil
Hata sijui Ila itakua inakaribia maana s3 inaanza JuneInaisha lini
SanaHiyo man in a veil ni nzuri?
Siangaliagi ongoing napenda iishe niangalie bila kimuhe muhe [emoji16][emoji16]missyrose hutizami ongoing nisi kuspoil bure
Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] basi sawaSiangaliagi ongoing napenda iishe niangalie bila kimuhe muhe [emoji16][emoji16]
Yule Dada kasoma na Kaka yake Mr. Chairman( Kim) Swisland. na anaonekana kuwa mjeuri zaidi yake.Wa ʿalaykumu s-salam (وَعَلَيْكُمُ ٱلسَّلَامُ)
na wewe pia amani iwe juu yako
==========
waendeleaje huko uliko pyeongyang, anayetawala huko ni kaka au dada?
kuna wajinga wanadanganyana kila siku, wengine wanasema dada mtu kawa kaka mtu kasoro sehemu ya siri tu amemuachia mapanki.
hebu tupe kinachojiri huko.
Airtel huduma yao ya internet si ya uhakika kwa huku nilipo, baadhi ya siku naipata vizuri sana huduma yao ila siku nyengine naingia hasara. bei mpya za vifurushi haziendani kabisa na uhalisia wa maisha ya watanzania walio wengi, sidhani kama serikali ilifanya tathmini ya kina juu ya uamuzi huu.
Jamaanjamani amkeni, amkeni wizara mpya ishafanya ya kwake.
sasa ni rasmi tumestaafishwa kufuatilia movies, series na drama kwa njia ya mtandao.
halotel hongereni kwa hichi mulichotufanyia
- bando la usiku limeondoshwa
- kifurushi cha siku kwa GB 1 kimeondoshwa
- vifurushi vyenginevyo vimerambwa mnoooo
============
upande wa zantel kwa huku zanzibar
kutoka GB 3 kwa siku kwa shilingi 2000 hadi mb 900 kwa shilingi 2000
na mabadiliko mengineo
===========
watu wa Airtel na vodacom vipi huko tunaweza kuhamia?
sisi wengine tunahitaji japo kifurushi cha usiku
=========
kikao kimeanza rasmi chenye lengo la kujadili haya mabadiliko, kama huamini ingia kwenye menu yako.
aminas mlevi mwenzangu uliyebobea
Numbisa mlinzi mwenzangu wa usiku tunatokaje
talnam mfukuza upepo kimya kimya
missyrose mlevi mwengine wa korea
Great Conqueror huko kaskazini huduma zenu ni nzuri?
na malegendary wengineo mukipata wasaa muhudhurie kwenye kikao
dah! bye bye wakorea?
tumepelekwa UgandaJamaan
kwa ufupi hakuna atakayesalimika na huu mbinyo, kuna baadhi ya dhoruba/changamoto zinapokuja hazichagui status ya mwanadamu na moja wapo ni hili suala la teknolojia ya mawasiliano.
kwa sasa njia pekee ya kudumu na hilo bando lako dogo ni kuperuzi JF na tovuti nyenginezo zisizohusuiana na uangaliaji wa video ukiwa online.
mtihani wa makusudi umetuingia
hapo youtube wengine itatulazimu tutembelee huku hesabu zikiwa mbele zaidi, unawaza kissasian na video quality yao huku mfukoni una GB 1 ya buku 2.
upande wa kununua CD sifikirii kurudi tena
ngoja niendelee kuziangalia hizi nilizokwishazipakua baadae nitajua cha kufanya.
kwa mwendo huu nitaendeleza mfumo wa kutoangalia 2021 drama labda Airtel waendelee kuwa msaada japokuwa network haitabiriki.
Nashukuru Mungu nilijiunga Jana 2000 kwa gb 3 nikiwa hapo nina gb 1.5 so kwa ujumla stock yangu imejaa.Kama una stock ya kutosha hongera sana.