missyrose Kupewa kwao kifungo unaweza kusema ndio drama inaenda kuisha hapo ndio unajua tofauti yetu ( bongo movies) na wenzetu mwisho wa hii episode ya 13 kuna tukio lingine linazaliwa yule jamaa ambaye wa Marekani anayependa kuongea kiingereza aliyekuwa anamsaidia mwanamama shim yu Ryeon kulipiza kisasa analipuliwa na bomu na aliyekuwa rafiki wa Dan tae ambaye ametoka jela muda mfupi.Afadhali..
Ngoja niangalie tuje kuwa discuss hawa jamaa[emoji1787][emoji1787]missyrose Kupewa kwao kifungo unaweza kusema ndio drama inaenda kuisha hapo ndio unajua tofauti yetu ( bongo movies) na wenzetu mwisho wa hii episode ya 13 kuna tukio lingine linazaliwa yule jamaa ambaye wa Marekani anayependa kuongea kiingereza aliyekuwa anamsaidia mwanamama shim yu Ryeon kulipiza kisasa analipuliwa na bomu na aliyekuwa rafiki wa Dan tae ambaye ametoka jela muda mfupi.
Hiv kwanini Penthouse mpaka sasa wameachia episode 1 tu wakati kila wikiend wanatoa episode 2?Hii Mouse ni hatariii nilianza jana usiku nilvyoona inatisha nikaacha, leo sasaa mchawi umeme tu.
Season 3 itaendelea June sijui July...hii ilikua hizo ep 13 tuHiv kwanini Penthouse mpaka sasa wameachia episode 1 tu wakati kila wikiend wanatoa episode 2?
Niko nayo sambambaMsiache kuangalia river where the moon rises,iko njema.kwa wale tuliokua tumemiss historical
Mbona nimeenda kwenye Google wanasema season 2 ina episodes 29?Season 3 itaendelea June sijui July...hii ilikua hizo ep 13 tu
Bora,story ake iko vzur.ndo niko episode ya tanoNiko nayo sambamba
Inwoo ameanza kuizoea character huku mbele
Ba watoto anaifatilia,for the first time anaangalia korean drama.alikuta mama yake anaitazama,akaona na yeye aliendeleze.anaisifia hatari.......itabd nikimaliza penthouse 2 na river where the moon rises,niitizameWang's family bonge la drama episode 50
Ba watoto anaifatilia,for the first time anaangalia korean drama.alikuta mama yake anaitazama,akaona na yeye aliendeleze.anaisifia hatari.......itabd nikimaliza penthouse 2 na river where the moon rises,niitizame
Unatumia mtandao gani?Naombeni mnitajie historical drama nzuri ndefu sio hizi za 16 episodes
Sanaaa yan haichoshiMsiache kuangalia river where the moon rises,iko njema.kwa wale tuliokua tumemiss historical
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]najua unawaza jinsi gani ana mbs za kumwaga na downloads za kufa mtuUnatumia mtandao gani?
Na inwoo ataonekana ep ya sabaBora,story ake iko vzur.ndo niko episode ya tano
Shida ni hii bando mweeeeh.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nna Wi-Fi ya kugongea inabidi nichangamkie fursaUnatumia mtandao gani?
Hizi bundle hizi [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]najua unawaza jinsi gani ana mbs za kumwaga na downloads za kufa mtu
Naombeni mnitajie historical drama nzuri ndefu sio hizi za 16 episodes