Wanasema Kwamba SM( EXO Wapo Chini Yao) Wanajua Kutafuta Vipaji Kwa Maana Ya Kwamba ni Agent Company ambayo kua na kipaji cha kuzaliwa kwao Ni muhimu sana Pamoja na Muonekano Pia na Mafundisho yao yako na Uwezo Mkubwa Kinachopelekea Kutoa Wasanii ambao wana Uwezo Mkubwa Wa Kuimba (Vocals) na ata Kucheza (Dance) Na ni kati ya Agent Company inayoheshimika Korea Japo ina Makando Kando Mengi Yanayowaumiza Wasanii Wake.
Exo Niliwahi Wasikiliza Kipindi Flani (Mimi Mara Nyingi Hua Nafatilia Wasanii Zaidi ya Wanachoimba au Kuigiza) na Kipindi Hicho BTS Nilikua Nawasikia Juu juu tu na Sikua Ndani Sana Na Kpop Mi Nilikua Drama Drama Na Mimi, Na Hata Nikisikiliza Basi Mi ni Hyo Shin, Ailee, Gumy na Sana Sana ni Drama OST.
Ila Leo Uniambie EXO na BTS Mi Nitaenda Kwa BTS, BTS Nimechagua Ni Sababu Ya Vitu Vingi Walivyonavyo Ukiacha Kuimba tu, Tangia Walivyo debut Mpka Leo Kwa Mafanikio Walonayo Sasa Sina Namna Ya Kua Fan Wao tu.
Ni Kama Mtoto Ambaye Ni Silver Spoon Ni msemo wa Kikorea Huu( Alotokea kwenye Familia Bora) Na Mtoto Wa Kifukara (Alototokea Familia Zetu Izi) Uhangaikaji Wake Lazima Utakua tofauti ata Kutoboa KWAKE Lazima Kue tofuati na ndo tofauti ya Exo na BTS au tofauti ya SM na Big hit.