Yani wababa wa mle jamani..mtu anavyoipenda familia utasema katoka Mars kumbe wale wale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mke naona anamfanyia unafiki maana moyo wake kaongeza chumba cha mchepuko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona season two inaendelea ntajivuta vuta kuiangalia ikikaribia kuisha.
Namba 1 nishawahi iona hyo namba mbili ndo bado1. Quuen Seon Duk
2. Tribes and Empires the strom of prophecies
Hizo hutojutia bando
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wanasema Kwamba SM( EXO Wapo Chini Yao) Wanajua Kutafuta Vipaji Kwa Maana Ya Kwamba ni Agent Company ambayo kua na kipaji cha kuzaliwa kwao Ni muhimu sana Pamoja na Muonekano Pia na Mafundisho yao yako na Uwezo Mkubwa Kinachopelekea Kutoa Wasanii ambao wana Uwezo Mkubwa Wa Kuimba (Vocals) na ata Kucheza (Dance) Na ni kati ya Agent Company inayoheshimika Korea Japo ina Makando Kando Mengi Yanayowaumiza Wasanii Wake.Katika makundi yote ya Kpop nmekua shabiki mkubwa wa kundi la EXO.Tangu wanafanya debute na EP iliopewa jina la MaMa.Wakitamba na ngoma kama mama,history.
Walipokuja kutoa One of Korean National Anthem,Moja ya nyimbo bora za kpop iliopewa jina la Growl,Ilikua balaa sana.
The War Album ndio album yao ambayo alnum bora ya mziki kuwahi kuisikiliza duniani hapa,bila kujali ni mziki wa aina gani ilitoka mwka 2018 na walishinda kama Best Album Korea.
Ilikua na nyimbo kama
Kokobop
Going crazy
Diamond
What u do
The Eve
Power (Nyimbo ya kwanza ya Kpop kupigwa kwny Dubai water Fountain)
BTS wanafanya poa sana lakini hyo haimaanishi kua kwasababu SM ni Agency kubwa basi wasanii wake wanapata mteremko.Kiongozi wa EXO Suho alikaa kwenye label bila kufanya debute kwa miaka 10.Ukifatilia hata wakat EXO wanatoka kulikua na makundi mengi makubwa kama BigBang,Shinee,Super Jr,2PM ila bado walipambana.Tofauti ya Bighit na SM ni kua Bighit waliwahi sana kufanya promotion kweny soko la Kimataifa asa America wakati SM wali base na soko la Asia.Just imagine EXO na ukubwa wao wa miaka 9 kwnye game wamefanya tour moja tu America mwaka 2016 mpaka leo hawajawahi.Ila sasa linapofika kweny Tour za ndani ya Asia they are monsters.Ni kawaida kwao kuuza tickets under 1 second sold out.Promoter mmoja aliwahi sema wasanii wa SM wanagharama kubwa mno kuwpata akimaanisha kua malipo yao yanawza kua kawaida ila matumizi mengine ni hatar.Wanasema Kwamba SM( EXO Wapo Chini Yao) Wanajua Kutafuta Vipaji Kwa Maana Ya Kwamba ni Agent Company ambayo kua na kipaji cha kuzaliwa kwao Ni muhimu sana Pamoja na Muonekano Pia na Mafundisho yao yako na Uwezo Mkubwa Kinachopelekea Kutoa Wasanii ambao wana Uwezo Mkubwa Wa Kuimba (Vocals) na ata Kucheza (Dance) Na ni kati ya Agent Company inayoheshimika Korea Japo ina Makando Kando Mengi Yanayowaumiza Wasanii Wake.
Exo Niliwahi Wasikiliza Kipindi Flani (Mimi Mara Nyingi Hua Nafatilia Wasanii Zaidi ya Wanachoimba au Kuigiza) na Kipindi Hicho BTS Nilikua Nawasikia Juu juu tu na Sikua Ndani Sana Na Kpop Mi Nilikua Drama Drama Na Mimi, Na Hata Nikisikiliza Basi Mi ni Hyo Shin, Ailee, Gumy na Sana Sana ni Drama OST.
Ila Leo Uniambie EXO na BTS Mi Nitaenda Kwa BTS, BTS Nimechagua Ni Sababu Ya Vitu Vingi Walivyonavyo Ukiacha Kuimba tu, Tangia Walivyo debut Mpka Leo Kwa Mafanikio Walonayo Sasa Sina Namna Ya Kua Fan Wao tu.
Ni Kama Mtoto Ambaye Ni Silver Spoon Ni msemo wa Kikorea Huu( Alotokea kwenye Familia Bora) Na Mtoto Wa Kifukara (Alototokea Familia Zetu Izi) Uhangaikaji Wake Lazima Utakua tofauti ata Kutoboa KWAKE Lazima Kue tofuati na ndo tofauti ya Exo na BTS au tofauti ya SM na Big hit.
Mi Nasemea Kupata Urahisi Wa Kutoka Kwenye Hali Yeyote Ya Kutafuta Kipato Hapa Duniani Na Huezi Kataa Kuna Unafuu Sana Na Wepesi Kwa Watu Wanaosimamiwa Na Watu Wenye Uwezo Ama Nafasi Nzuri Kwenye Hii Dunia.BTS wanafanya poa sana lakini hyo haimaanishi kua kwasababu SM ni Agency kubwa basi wasanii wake wanapata mteremko.Kiongozi wa EXO Suho alikaa kwenye label bila kufanya debute kwa miaka 10.Ukifatilia hata wakat EXO wanatoka kulikua na makundi mengi makubwa kama BigBang,Shinee,Super Jr,2PM ila bado walipambana.Tofauti ya Bighit na SM ni kua Bighit waliwahi sana kufanya promotion kweny soko la Kimataifa asa America wakati SM wali base na soko la Asia.Just imagine EXO na ukubwa wao wa miaka 9 kwnye game wamefanya tour moja tu America mwaka 2016 mpaka leo hawajawahi.Ila sasa linapofika kweny Tour za ndani ya Asia they are monsters.Ni kawaida kwao kuuza tickets under 1 second sold out.Promoter mmoja aliwahi sema wasanii wa SM wanagharama kubwa mno kuwpata akimaanisha kua malipo yao yanawza kua kawaida ila matumizi mengine ni hatar.
Another advantage nyingne ni kua Bighit walikaa muda mrefu sana wakiwa na BTS pekee tofauti na Labels zingne kama YG,JYP na SM zmeanza kufanya kazi miaka ya 80+ so zina wasanii wengi mno wanao wasimamia.Ndio maan ni nadra sana hata kuona msanii wa SM akatoa album mbili kwa mwaka.All in All BTS are the Kings of Kpop kwa sasa hilo halina mpinzani.But musically for me EXO are Kings
Vipi uliicheki Dangerous Promise niliyokuambia?Mi Nasemea Kupata Urahisi Wa Kutoka Kwenye Hali Yeyote Ya Kutafuta Kipato Hapa Duniani Na Huezi Kataa Kuna Unafuu Sana Na Wepesi Kwa Watu Wanaosimamiwa Na Watu Wenye Uwezo Ama Nafasi Nzuri Kwenye Hii Dunia.
Turudi Apa Kwetu Mchukue Zuchu Anaesimamiwa Na WCB Na Kwa Sasa Tunaona Nafasi Walonayo WCB Tumchukue Jay Melody tumchukue Benson Aloimba Hauzimi Hawa Wametoke THT Kama Sijakosea Kwa Mfano wa Ao Wachache then Tuwalinganishe Kwa Anaefanya Vizri Sasa Kwa Soko Letu La Kibongo Na Yupi Anaepata Shows Nyingi Zenye Ela Then Tuone Nyuma Ya Ao Wasanii Kuna Kina Nani, tuje Pia Kuona Ni Nani mwenye tungo Nzuri na Vocal Nzuri.
Ndo Ninachomaanisha Kwenye Kusema Huezi Fananisha Big Hit Ya Kipindi Kila BTS Wanatoka Na SM Ya Kipindi Kile EXO Wanafanya Vizuri Haijalisha Kama Suho Alikaa Miaka 10 Mbona Ata RM Alikaa Zaidi ya Miaka 5 Kama trainee Na Ata Baada ya Kudebute Bado ilikua Ngumu Wao Kua Na Soko Korea. Wasanii Wengi Walio chini ya SM Wanafanya Vizuri kwenye Soko Hasa Baada Ya Kudebute Haijalisha Walipata Ugumu gani Ila Inakua Nafuu Kwao wakishatambulishwa.
BTS Kujulikana Marekani Na Kutoboa Soko La Wazungu Kuwaimbisha Na Kujaza Uwanja Zao Kwa Kuimba Lugha Wasoielewa Ni Kazi ya Ziada Sana Waloifanya Big Hit Kushika Chat Zao Kufanya Shows Kwenye Awards Zao na Kubeba Juu Tuzo Zao μΈμγ ! .
Hapo muda wenyewe wa kufungua unakuta hana[emoji1787][emoji1787]Sio kwa mizawadi hii jamani. Happy birthday oppa
toView attachment 1827065
Vip uliicheki drama niliyokutajia ya "Fatal Promise" au kwa jina lingine inaitwa "Dangerous Promise"?Hapo muda wenyewe wa kufungua unakuta hana[emoji1787][emoji1787]
Bado bossVip uliicheki drama niliyokutajia ya "Fatal Promise" au kwa jina lingine inaitwa "Dangerous Promise"?
Ndio hapo sasa...Hapo muda wenyewe wa kufungua unakuta hana[emoji1787][emoji1787]
Teh unalo nakuambiaBado boss
Jitahidi uicheki ni nzuri Sana episode ya kwanza tu ni π₯Bado boss
π€£π€£π€£π€£ Mbona unaniandamaTeh unalo nakuambia
Usinishawishi tafadhali maana nimeshaitoa kwenye watch list baada ya kuona endingYouth of May nimeinjoi ila duh wakorea wamepitia mapito mengi
Usinishawishi tafadhali maana nimeshaitoa kwenye watch list baada ya kuona ending
Sijaangalia niliona tu picha kwenye page moja huko instaHaa umeangaliaje ending kabla ya mwanzoni?ni nzuri hio ending wala haitakuumiza sana.