Iyo Cha Cha Ni Nzuri Kwa Upande Wangu, Ni Ile Drama Unaangalia In Relaxed Mode, Na Nimependa Zaidi Ile Seaside Village Life.ahsante sana,
hizi nyenginezo nazo umebahatika kuziangalia ukanipa fikra (mtazamo) zako juu ya ulichokishuhudia.
- hometown cha cha cha
- police university
- high class
Vijana Wa Seoul Now Ndo Wamelishika Soko.Song Il Kook is considering to lead a new drama 'Killer Queen' which deals with the story of a psychiatrist who becomes the daughter-in-law of a chaebol.
This will be his small screen comeback after 5 years.
View attachment 1929879
Kwa Sasa Nipo Na
Cha Cha Cha
Hospital Play List
Na Iyo Lost Niloanza Angalia
Top 3 time travel korean drama
1. Rooftop prince
2. faith
3. Queen and i
Mie zangu ni
1. Mr Queen
2. Moon lovers
4. Dr Jin
Yaani Ukweli Nimeyapenda Yale Macho Sijui Kwanini Natmni Nimuone Yeye tu Drama Nzima.===============
- the road the tragedy of one : hii inamalizika usiku wa leo
- hospital plylist 2: wiki ijayo inamaliza
- hur jun (1999): maish ya daktari bingwa aliyeishi karne ya 16 nchini korea, hapa nafanya marejeo ya matukio kupitia waigizaji wengineo, nilibahatika kuiangalia ya mwaka 2013
- lovers of the red sky: kama wewe umevutiwa na macho yenye rangi nyekundu basi mimi navutiwa na ucheshi wa mdogo wangu kim yoo jung
nikimalizana na hizo tatu zitafuata hizo ulizonitajia
hapo kwenye tennis umenikumbusha lile darasa lako la huo mchezoRoad tragedy Nilitaka Anza Angalia Ila Nasubir Kwanza US Open (Tennis) Iishe Ndo Niianze.
lakini bado hajabahatika project nzuri kama wengineo wenye bahati zao (kwa hizi project tatu za nyuma alizoigiza lead)Yoo Jung Ni Wale Binadam Walozaliwa Na talent Si Yakulazimisha Ndo Yule Mrembo Yupo so Real Ata Uigizaji Wake Umetulia Yaani.
labda ni kwa sababu stori nyingi zinahusu rika la vijanaVijana Wa Seoul Now Ndo Wamelishika Soko.
Ichi Kichwa Changu Chingu Acha tu. Siku Unaamka Ubongo Unachemka Hutamani ata Kusikia Sauti Ya Mtu,Siku Unaamka Unatamni Kucheka ata na Nzi kama Si Mjusi.hapo kwenye tennis umenikumbusha lile darasa lako la huo mchezo
nyakati zinakuja kama kobe lakini zinakimbia kuliko sungura.
ukiondoa mpira wa miguu hakuna mchezo mwengine unaoniovutia
fanya twende pemba ukajifunze huu mchezoSisi Wapenzi Wa Vingi Nataka Kuingia Kwenye Rugby Hahahaha.
InshallahSomo Litaenedelea Chingu Ngoja Nitafute Madini.
depression au ni furaha tu?Ichi Kichwa Changu Chingu Acha tu. Siku Unaamka Ubongo Unachemka Hutamani ata Kusikia Sauti Ya Mtu,Siku Unaamka Unatamni Kucheka ata na Nzi kama Si Mjusi.
Yah Kweli Na Alipata Iyo Nafasi Labda Ameanza Kitambo Kwenye Uigizaji Tangu Yupo 6yrs.lakini bado hajabahatika project nzuri kama wengineo wenye bahati zao (kwa hizi project tatu za nyuma alizoigiza lead)
still ana umri mdogo sana utakaomfanya aendeleee kuifurahia kazi yake, ni waigizaji wachache sana waliopata nafasi ya kuigiza uhusika mkuu wakiwa na miaka 18.
- clean with passion for now
- backstreet rookie
- love in the moonlight - hii ndio ilimtambulisha vizuri zaidi
nizidi kumtakia kheri
Yah, Ndomana Nasema WANAENDA Na Soko La Dunia, Na Waangaliaji Wengi Wa sasa Ni Teens Hawa So Lazima Waweke Hawa Handsome wa Seoul Ili Kuwavutia Zaidi.labda ni kwa sababu stori nyingi zinahusu rika la vijana
Insha Allah, Vitu tu Ukiplus Na Uintrovert Basi Adi Raha.depression au ni furaha tu?
Mungu ajaalie liwe hilo la furaha
Ni Utani Au Ni UPO Kweli?fanya twende pemba ukajifunze huu mchezo
View attachment 1930569
Hiyo namba mbilI ni time travel?
- signal drama
- my love from another star drama
- life on mars drama
Bado ana uhitaji huyo rafiki yako? Mimi siku hizi natumia channel moja inaitwa Korean drama world. Hakuna drama niliyoitafuta nikaikosa mule ila ongoing hawawekini rafiki yangu wa karibu ndiye muhitaji wa hizi channel, nimeshamfahamisha sana jinsi ya kushusha drama kwa kutumia software ya IDM lakini ndio hivyo anajifanya kichwa ngumu.
alikuwa anatumia ile channel ilioanzishwa na Nifah,
Hapana.Hiyo namba mbilI ni time travel?