Nilimkimbia, nitaitafuta hiyo channel hata kwa matumizi yangu nitakapohitajiBado ana uhitaji huyo rafiki yako? Mimi siku hizi natumia channel moja inaitwa Korean drama world. Hakuna drama niliyoitafuta nikaikosa mule ila ongoing hawaweki
Oktoba na November ni full harusi nyumbani,Ni Utani Au Ni UPO Kweli?
October Hii Nije.
Song Il Kook is considering to lead a new drama 'Killer Queen' which deals with the story of a psychiatrist who becomes the daughter-in-law of a chaebol.
This will be his small screen comeback after 5 years.
View attachment 1929879
Nilifikiria anataka kuingia kwenye siasa kwa sababu ya ukimya wakeMwamba alipoa sana.
Nilifikiria anataka kuingia kwenye siasa kwa sababu ya ukimya wake
Nayo pia ni sababu, maisha yake ya Sanaa ya uigizaji kwa miaka ya karibuni aliyaelekeza upande wa musicalNaona alikuwa bize na familia. Mapacha wanampelekea moto ni hatari.
Agoo aoigoo muiteni NifahSong Il Kook is considering to lead a new drama 'Killer Queen' which deals with the story of a psychiatrist who becomes the daughter-in-law of a chaebol.
This will be his small screen comeback after 5 years.
View attachment 1929879
Hiyo namba moja lazima niangalie hata wakisema mbaya...yumo kipenzi changu Min ahahsante sana,
hizi nyenginezo nazo umebahatika kuziangalia ukanipa fikra (mtazamo) zako juu ya ulichokishuhudia.
- hometown cha cha cha
- police university
- high class
kiupande wangu sina majibu, niliangalia episode 5 tu takribani miaka 4 iliopita.
kikubwa nilichokiona labda niseme ni harakati za mwanamke zilizochochewa na kisasi, zinazomzalishia ndoto ya tamaa za kuumiliki mfumo dume kwenye ulingo wa siasa kwa kumtumia mwanawe baada ya kuonjeshwa ladha ya maisha ya familia ya kifalme.
labda nimwite huyu mkorea wa kizimkazi anayeitwa Great Conqueror anaweza kukupa tathmini yake
Mwaliko Basi Chingu Nije Kula Biriani.Oktoba na November ni full harusi nyumbani,
ndugu zangu wawili wanatarajiwa kuolewa inshallah.
Nimerudi Pemba mwezi February, sijui nitakwenda lini tena.
Nayatamani yale maisha Niliyoyaishi kule.
Scarlet heart umeiona?Nipo Ep ya 10 nimeipenda.
Samahani unaweza nisaidia kunitajia nyingine ya Historical ya mapanga mapanga
My dear Numbisa , sikuhizi naona ila website uliyowahi kunielekeza kwaajili ya kucheki K- dramas imejaa ads hadi kero yani kila ukibonyeza zinatokea Ads zaida ya nne au tano kabisa, bora hivyo kibaya zaidi sasa hivi kumejaa malicious ads amabzo ni vyepesi Zaid kujaribu device.Nevertheless uharibifu wa hela tu hivi hawa jamaa sijui hela huwa zinawawasha wanazitapanya tu kwa upande wangu sijaona cha maana humo
My dear Numbisa , sikuhizi naona ila website uliyowahi kunielekeza kwaajili ya kucheki K- dramas imejaa ads hadi kero yani kila ukibonyeza zinatokea Ads zaida ya nne au tano kabisa, bora hivyo kibaya zaidi sasa hivi kumejaa malicious ads amabzo ni vyepesi Zaid kujaribu device.
Hii hali ni kwangu tu, au na kwako pia? Na kama io hata kwako unatumia njia gani kupeukana na huu usumbufu?
Daah tena kama siku hizi ndo zinazidi kuwa nyingi tu, mwaka jana wakati ndo naanza kuitumia haikuwa hivi kabisa.Ads ni shida. Huwa nazikatisha kabla hazijaenda zinapotaka kwenda. Ni kutumia ujanja kuifahamu web husika ukiona zinaelekea siko unakatisha unaanza upya.
Hii queen and i umeiangalia kupitia website gani?mana natumia dramacool na siioni hukoTop 3 time travel korean drama
1. Rooftop prince
2. faith
3. Queen and i
Hivi ukiacha dramacool,website gani ingine naweza cheki kdrama?Umeshawahi kuota ndoto ukishtuka unatamani uendelee kulala? Basi mwenzenu leo nimeota nimeonana na JI Chang Wook hahaa
Hivi ukiacha dramacool,website gani ingine naweza cheki kdrama?
Hii queen and i umeiangalia kupitia website gani?mana natumia dramacool na siioni huko