Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kiupande wangu sina majibu, niliangalia episode 5 tu takribani miaka 4 iliopita.
kikubwa nilichokiona labda niseme ni harakati za mwanamke zilizochochewa na kisasi, zinazomzalishia ndoto ya tamaa za kuumiliki mfumo dume kwenye ulingo wa siasa kwa kumtumia mwanawe baada ya kuonjeshwa ladha ya maisha ya familia ya kifalme.

labda nimwite huyu mkorea wa kizimkazi anayeitwa Great Conqueror anaweza kukupa tathmini yake

Nipo Ep ya 10 nimeipenda.

Samahani unaweza nisaidia kunitajia nyingine ya Historical ya mapanga mapanga
 
Oktoba na November ni full harusi nyumbani,
ndugu zangu wawili wanatarajiwa kuolewa inshallah.

Nimerudi Pemba mwezi February, sijui nitakwenda lini tena.
Nayatamani yale maisha Niliyoyaishi kule.
Mwaliko Basi Chingu Nije Kula Biriani.

Amia tu, Fanya Kitu Roho Inafurahia.
 
Nevertheless uharibifu wa hela tu hivi hawa jamaa sijui hela huwa zinawawasha wanazitapanya tu kwa upande wangu sijaona cha maana humo
My dear Numbisa , sikuhizi naona ila website uliyowahi kunielekeza kwaajili ya kucheki K- dramas imejaa ads hadi kero yani kila ukibonyeza zinatokea Ads zaida ya nne au tano kabisa, bora hivyo kibaya zaidi sasa hivi kumejaa malicious ads amabzo ni vyepesi Zaid kujaribu device.

Hii hali ni kwangu tu, au na kwako pia? Na kama io hata kwako unatumia njia gani kupeukana na huu usumbufu?
 
Ads ni shida. Huwa nazikatisha kabla hazijaenda zinapotaka kwenda. Ni kutumia ujanja kuifahamu web husika ukiona zinaelekea siko unakatisha unaanza upya.

Daah tena kama siku hizi ndo zinazidi kuwa nyingi tu, mwaka jana wakati ndo naanza kuitumia haikuwa hivi kabisa.

Pamoja sana.
 
Back
Top Bottom