Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kim Seon Ho Removed From 2 Upcoming Films​

Kim Seon Ho had been in talks to make his big screen debut through director Park Hoon Jung’s “Sad Tropics” (literal title) and then star in director Kim Deok Min’s omnibus film “Dog Days” (literal title). He was also confirmed for the leading role in director Lee Sang Geun’s romantic comedy film “2 O’Clock Date” (literal title) along with Girls’ Generation‘s YoonA. Go Ara is in talks for a role in “Sad Tropics.”

Kim Seon Ho recently came under fire for his alleged behavior towards his ex-girlfriend, who accused him of forcing her to have an abortion on false promise of marriage. Kim Seon Ho released an apology and was announced to be withdrawing from KBS2’s variety show “2 Days & 1 Night Season 4,” which he had been starring in as a fixed cast member.

On October 20, a source from “2 O’Clock Date” production company Filmmaker R&K stated to MyDaily, “We have decided to replace the male lead of ‘2 O’Clock Date.'”

Production company JK Film of “Dog Days” also shared, “It’s a bit burdensome to keep going [with Kim Seon Ho] because it’s the role of a romantic couple. We have spoken with the agency, decided to replace him, and are taking the necessary steps.”

Only “Sad Tropics,” which had been scheduled to begin filming in mid-November, has not reached a decision. A source from the film said, “Nothing has been decided so far regarding actor Kim Seon Ho. We are discussing the matter.”
 
  1. wakorea matatizo yako ya kimaisha wanayaingiza mpaka kwenye professional yako,
  2. kwa wakorea hakuna dhambi iliopita, kama hujaadhibiwa hutakiwi kujiweka huru.
  3. kwa wakorea hakuna kujisahihisha mpaka pale wenyewe watakapoamua kukusahihisha
  4. kwa wakorea celebrity unapaswa kuishi vile watakavyo mashabiki wako na si uishi vile utakavyo wewe
  5. wakorea huamini mwanadamu ni mkamilifu (japokuwa hawakiri hadharani)
  6. usije ukaomba watumiaji mtandao nchini korea wakakuanzishia vita......umekwisha
miaka yangu takribani 8 yakufuatilia sanaa yao nimejifunza hayo
 
Wana wivu sana. Wakiona mtu keshapanda juu wanatafuta tukio la kumshusha. Hasa wadada ndo zao. Mfano yule jamaa waliyesema alikua bully shuleni walitakiwa watoe taarifa ya scandal yake kabla hajawa maarufu wakasubiria kwanza kaanza kufanikiwa ndo wakamshusha

Wanakera kweli mbwa hawa (samahani nimetumia maneno makali.) Sasa sijui wao wanapata faida gani . Ila nao celebrities wawe wanajiheshimu basi japo kidogo...wanawajua watu wao walivyo na kiranga ila hawakomi
 
Hayo maneno ni sahihi yanawafaa maana wamezidi wanaingilia sana uhuru wa wasanii wao. Niliangalia drama nyingi za wanaoigiza umaarufu ndani ya drama husika wana maisha ya shida fans wanawazonga balaa mfano imitation. Na ile father is stranger mpaka familia ikaanza sakamwa ati inamlia pesa kijana.

Ndo maana kule insta huwa hawafollow watu kuepusha hayo mambo kwa watu wao wa karibu

Celebrities na wao wana hisia ukute mwingine kabla hajadondokewa na zali la umaarufu alikua ana date ovyo ovyo hivyo inakua vigumu kuzuia maafa
Wanakera kweli mbwa hawa (samahani nimetumia maneno makali.) Sasa sijui wao wanapata faida gani . Ila nao celebrities wawe wanajiheshimu basi japo kidogo...wanawajua watu wao walivyo na kiranga ila hawakomi
 
  1. wakorea matatizo yako ya kimaisha wanayaingiza mpaka kwenye professional yako,
  2. kwa wakorea hakuna dhambi iliopita, kama hujaadhibiwa hutakiwi kujiweka huru.
  3. kwa wakorea hakuna kujisahihisha mpaka pale wenyewe watakapoamua kukusahihisha
  4. kwa wakorea celebrity unapaswa kuishi vile watakavyo mashabiki wako na si uishi vile utakavyo wewe
  5. wakorea huamini mwanadamu ni mkamilifu (japokuwa hawakiri hadharani)
  6. usije ukaomba watumiaji mtandao nchini korea wakakuanzishia vita......umekwisha
miaka yangu takribani 8 yakufuatilia sanaa yao nimejifunza hayo

Ila inabidi wabadilike bwana hatupo joseon dynasty hapa alaaa... hao elebrities sio wa kwao peke yao ni wa kwetu pia. Kama hawawataki waache kuangalia drama zao mfyuuuu..hasira za halotel namalizia kwa wakorea leo hahaaa
 
Halafu ni mabingwa wa bullying, yaani unakuta baba anakua bullied kazini,mama sokoni au kwenye vikundi(vikoba) vyao,mtoto ahule basi tafrani tupu.

Wana maendeleo makubwa lakini daah wana maisha magumu mno
  1. wakorea matatizo yako ya kimaisha wanayaingiza mpaka kwenye professional yako,
  2. kwa wakorea hakuna dhambi iliopita, kama hujaadhibiwa hutakiwi kujiweka huru.
  3. kwa wakorea hakuna kujisahihisha mpaka pale wenyewe watakapoamua kukusahihisha
  4. kwa wakorea celebrity unapaswa kuishi vile watakavyo mashabiki wako na si uishi vile utakavyo wewe
  5. wakorea huamini mwanadamu ni mkamilifu (japokuwa hawakiri hadharani)
  6. usije ukaomba watumiaji mtandao nchini korea wakakuanzishia vita......umekwisha
miaka yangu takribani 8 yakufuatilia sanaa yao nimejifunza hayo
 
Ila inabidi wabadilike bwana hatupo joseon dynasty hapa alaaa... hao elebrities sio wa kwao peke yao ni wa kwetu pia. Kama hawawataki waache kuangalia drama zao mfyuuuu..hasira za halotel namalizia kwa wakorea leo hahaaa
Nimependa hapo ni wakwetu wote
Kwakweli wanakera yani wanakurudisha from scratch dakika tu.
 
kumekucha kwa chief hong
kazi yangu ni kushusha post tu, mjadala nawaachia wenyewe
===========

Kim Seon Ho Apologizes For Controversy Involving Ex-Girlfriend​

This is Kim Seon Ho. I sincerely apologize for the belated statement. I experienced a fear that felt for the first time after the article with the mention of my name was released a while ago, and that is why I am writing this now.

I was seeing her with good emotions. In that process, I hurt her due to my carelessness and inconsiderate actions.

I wanted to meet and apologize to her directly, but I am not able to properly convey the apology now and am waiting for that time to come. For now, I would like to genuinely apologize to her through this statement.

I apologize for also disappointing all of those who trusted and supported me until the end. It was all thanks to those who supported me that I was able to become the actor Kim Seon Ho, but I had forgotten that. I apologize for causing trouble to my co-stars and all of the related staff who worked with me due to my flaws. I would like to sincerely apologize to everyone who was hurt.

I am aware that this rambling statement will not fully reach your hearts, but I am still attempting to convey my sincere thoughts. I am very sorry.
Hopefully atalivuka hili salama bila mambo ya suicide..hawa ndugu zetu ni dakika mbili mbele
 
Huu umakini n'louweka kwenye hii 'SAVE ME' ningeuweka shuleni sijui ningekuwa wapi? [emoji23][emoji23] Maana naitazama kama vile nina paper.
7c0cf89d0c7cc6d17ccc8b5cc7eb4176.jpg
4f54ec855f6331418a1301e6b74dbe37.jpg
59b376199dd9622760c20e7134ab6dc0.jpg
 
Ukiacha movies za kina jackchain na brucelee nilizokuwa naaangalia enzi hizo za kikorea, sijawahi kuwa mpenzi tena wa movies au series za kikorea, naonaga kama wamezidisha editing.
 
Ukiacha movies za kina jackchain na brucelee nilizokuwa naaangalia enzi hizo za kikorea, sijawahi kuwa mpenzi tena wa movies au series za kikorea, naonaga kama wamezidisha editing.
Mzee hao 'jackchain' na bruce lee sio wakorea mzee. Hao ni wachina. Na unayoyaongea ni sifa za movies za kale za kichina. Hujagusa wakorea mzee.
 
Baada ya biashara kwenda mrama, familia ya baba mama na watoto wawili (wa kike na wakiume) inakimbia jiji la Seoul kuhamia kwenye kamji kadogo kanakoitwa Moojin.

Ni usiku na mvua inanyesha sana wakiwa ndani ya usafiri wao modeli ya zamani. Waelekeapo hawana ndugu wala rafiki, na wanapopategemea kujihifadhi panaota mbawa kimazingara hali inayofanya baba kufanya kila namna ili kuisitiri familia yake.

Lakini katika namna hiyo, anajikuta akiingia kwenye mikono ya muumini safi wa imani ya ajabu ila yenye nguvu mno katika eneo hili.

Imani inayoabudu anga jipya wakiongozwa na kiongozi mwenye ushawishi na kaliba ya kuteka akili za watu.

Hapo wanapewa hifadhi na kuhudumiwa kila jambo wakistaajabu marejesho yao yatakuwa ni nini kwa ukarimu huu.

Isipite muda, familia inakumbwa na pigo kubwa la mtoto wa kiume kufariki kwa kujiua. Mama anashindwa kukabiliana na shtuko hili, anapoteza akili! Naye baba katika hangaiko la faraja, anazama kwenye kina kirefu cha imani hii mpya na ya ajabu kiasi kwamba hata vya kuonekana kwa macho ya nyama anakua havioni tena. Kichwa anatembea nacho, ila akili ipo mikononi mwa wengine!

Hivyo katika familia hii ya watu wanne, anabakia mmoja tu mwenye akili inayofanya kazi, macho yanayoona yanayoendelea na kufanyika, na masikio yanayosikia vilio vya maumivu na watesi! ... Naye ni dada, Im Sang-mi.

Akiwa mwenyewe, msichana mdogo, nani wa kumuokoa ingali familia yake yenyewe imegeuka kuwa maadui walioungana na vinara wa imani hii?

Nani atakayemwambia akamsikia na kumwamini kuwa hii si dini bali ni genge la wauwaji na watesi waliojificha nyuma ya msalaba mkubwa mwekundu?

Ni nani atakayemwokoa?

SAVE ME!
f0d9417f0e30d1c0d346c6eb5c98e37e.jpg
c85f8ceedde079382c79649120ba33bb.jpg
4f54ec855f6331418a1301e6b74dbe37.jpg

Screenshot_20211022-002148.png
 
Back
Top Bottom