Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Ha ha ha, mzee naonaga kama wakorea na wachina ni wale wale tu.Mzee hao 'jackchain' na bruce lee sio wakorea mzee. Hao ni wachina. Na unayoyaongea ni sifa za movies za kale za kichina. Hujagusa wakorea mzee.
Ha ha ha, mzee naonaga kama wakorea na wachina ni wale wale tu.
😂😂😂😂😂😂😂Karibu shoga mwenzetu
No sirYou are sick
Hiyo series ni genre gani??Yumi's cells daah chungu kwangu na vile vikatuni ila ndo hivyo bando la kuchezea hamna naenda nayo kibishi nilivuta episode 10
Yumi's cells daah chungu kwangu na vile vikatuni ila ndo hivyo bando la kuchezea hamna naenda nayo kibishi nilivuta episode 10
Leo jioni ndo nimemaliza Mr.Queen, nataka nishushe historical drama nyingine ila naogopa naweza kushusha kitu chenye hadhi ya chini.Romance
Comedy
Psychology
Daah pole mwaya basi mimi vile vikatuni ndio vinanifurahisha balaa muda mwingine huwa natamani viwe vyenyewe tu
Hiyo series ni genre gani??
Angalia Moon LoversLeo jioni ndo nimemaliza Mr.Queen, nataka nishushe historical drama nyingine ila naogopa naweza kushusha kitu chenye hadhi ya chini.
Huwa napenda nikitoka kuangalia season fulani nipate nyingine kali zaidi.Kama hautojali nipe recommendation.
Hii nilishaiangalia miaka kadhaa nyuma.Angalia Moon Lovers
Nlizoangalia mimi na nikazipendaHii nilishaiangalia miaka kadhaa nyuma.
ulipakua hizo episodes kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo?Yumi's cells daah chungu kwangu na vile vikatuni ila ndo hivyo bando la kuchezea hamna naenda nayo kibishi nilivuta episode 10
ulipakua hizo episodes kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo?
hapa nilipo nimepoteza MB 600 kwa episode ambayo nilipaswa nipoteze MB 120 , usawa huu wa kununua GB 1 kwa shilingi 2000/= najihisi kama nimepoteza kitu cha thamani
ile jeuri ya kupakua complete drama then nikaifuta bila ya kuiangalia sijui kama itarudi tena.
teh teh teh
maisha ya usamiani bint suluhuni bint tozoni yapo kucheleeee!!!!!
Tigo ni GB1.1 kwa 1500/=ulipakua hizo episodes kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo?
hapa nilipo nimepoteza MB 600 kwa episode ambayo nilipaswa nipoteze MB 120 , usawa huu wa kununua GB 1 kwa shilingi 2000/= najihisi kama nimepoteza kitu cha thamani
ile jeuri ya kupakua complete drama then nikaifuta bila ya kuiangalia sijui kama itarudi tena.
teh teh teh
maisha ya usamiani bint suluhuni bint tozoni yapo kucheleeee!!!!!
Sikuizi drama nisipoikuta kule Nkiri.com (hawana drama zote), huwa napata ugumu sana wa kuifatilia maana wanataka MB nyingi ambazo kwasasa zimekuwa kama dhahabu.ulipakua hizo episodes kwa mkupuo mmoja au kidogo kidogo?
hapa nilipo nimepoteza MB 600 kwa episode ambayo nilipaswa nipoteze MB 120 , usawa huu wa kununua GB 1 kwa shilingi 2000/= najihisi kama nimepoteza kitu cha thamani
ile jeuri ya kupakua complete drama then nikaifuta bila ya kuiangalia sijui kama itarudi tena.
teh teh teh
maisha ya usamiani bint suluhuni bint tozoni yapo kucheleeee!!!!!
Bado hiki kifurushi sio rafiki kwetu watu wa Joseon. Zile night packages zilitusave sana.Tigo ni GB1.1 kwa 1500/=
Leo jioni ndo nimemaliza Mr.Queen, nataka nishushe historical drama nyingine ila naogopa naweza kushusha kitu chenye hadhi ya chini.
Huwa napenda nikitoka kuangalia season fulani nipate nyingine kali zaidi.Kama hautojali nipe recommendation.