Kamselelekoo
Mkuu shukran sana aisee, nimekumbuka kumbe ndie ulietuletea hii kimoitv humu iko poa sana mb chache na ina collections nyingi zaidi kuliko nkiri, mpk breaking bad etc zimo humo.Defendant - KimoiTV
Download Defendant English Subbed K Drama All Season & Episodes from KimoiTV.com using your android or iOS mobile device. Download or Stream in mobile as MP4 HD format.kimoitv.com
Ndio,japo sio mpenzi wa mambo ya ushoga ila yule jamaa shoga alokua anampenda bosi alijua kuniacha hoi zile swaga zakeMimi pia nilifurahi ila walinikera tu wale wahuni waliokuwa hospitali...hakukuwa na ulazima wa wale kuwepo kule
Kwenye mb chache nkiri wako vzuri sana ila kimo wana series nyingiii[emoji91][emoji91][emoji91]Aisee aliependekeza kimoitv humu ametisha sana, ni nzr kuliko nkiri, ina mb chache sana na hii ina movies na series karibu zote unazozitaka bila kujalisha ya kijapani korea au kizungu.. Tofauti na nkiri wao ni almost korean tu.
@vladmir lenin huyu ndo alietuletea
Haa thanks for correction, jamaa ametufanyia jambo la maana sana.@vladmir lenin huyu ndo alietuletea
Ok, kuna epsode nimeona kimo ya mb 70 nyingine nyingi zina range 120,140,160.kwa series pia kimo wana za kila aina, ukisachi breaking bad nkir huipati.Kwenye mb chache nkiri wako vzuri sana ila kimo wana series nyingiii[emoji91][emoji91][emoji91]
Ndio,japo sio mpenzi wa mambo ya ushoga ila yule jamaa shoga alokua anampenda bosi alijua kuniacha hoi zile swaga zake
Yani nilicheka mpaka nikasahau shida za maji na umeme😂😂
Mkuu shukran sana aisee, nimekumbuka kumbe ndie ulietuletea hii kimoitv humu iko poa sana mb chache na ina collections nyingi zaidi kuliko nkiri, mpk breaking bad etc zimo humo.
Unaweza shangaa imo ila kwenye searching bdo unapishana nao, mimi nimewashindwa hapo tu.humo nimeitafuta 6 headed shark attack sijaipata. atakayeipata link plz
Mi nakosea wapiKataamuuu
Hivi kwani mnazungumzia kitonga gani?Mi nakosea wapi
Haikubali nikajikuta natumia mb zote zimeisha alafu ikagoma ku connect
Mi nakosea wapi
Haikubali nikajikuta natumia mb zote zimeisha alafu ikagoma ku connect
Ni nini hiki mnazungumzia, sitaki kupitwa😅kama umeshaidownload na kuziona server haina haja ya mb. kazi hapo ni kuilazimisha server ikubali. mara nyingi huwa inasema user server limits.
mara ya kwanza ilinigomea nikaja kuijaribu saa kumi usiku ikakubali maana watu wanakua wamepungua ,hapo unaenda nayo siku nzima,kazi ni kuadd time tu
Hivi kwani mnazungumzia kitonga gani?
Kama una uvumilivu tafuta laini ya TTCL nikupe mchongo nna miezi zaidi ya 7 siijui kuhusu mabando napakua daily at least episodes hata 10
Kama unayo download vpn playstore inaitwa Wire Tun then kama una mb fungua hiyo app usubiri servers zitokee zote then unachagua unayotaka,haipo vizuri sana but kwenye kudownload ipo moto sana yaani hadi 2mbps inapiga
Ni nini hiki mnazungumzia, sitaki kupitwa😅
Nimekuelewa sasa, kwahiyo ni lazima uwe na line ya TTCL?nimekuwekea hapo juu
Nimekuelewa sasa, kwahiyo ni lazima uwe na line ya TTCL?