Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naam huwa siangalii ongoing dramas lakini huu mwaka nimezicheki nyingi sana jana nimeanza na Now We Are Breaking Up na The Red Sleeve.

But The Red Sleeve imenipa feeling flani huenda ikawa na sad ending pale ambapo Deok Im alitumwa na Court Lady Jo kwenda kutoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Crown Princess Young na akakutana na mfalme akapewa kitabu flani hivi huku akipewa nasaha flani kama Court Lady anatakiwa aje kuchagua kuwa Court Lady wa aina ipi na inawezekana hatma yake ikawa kama ya mmiliki wa kile kitabu ambaye ni Crown Princess Young.

Tunaojua hii History ya Consort UI tunaelewa kipi kinaongelewa.

Credits kwa Kimoitv huku unakutana na drama hadi za mwaka 2000 na mb zake chache ni 144-190 kutegemeana na length yakeView attachment 2008857

Mkuu… barikiwa sana, sana.
Kimoi TV ni faraja wakati huu wa tozo na likizo juu bila kitonga cha internet ya ofisi mambo yalikuwa magumu.
 
Back
Top Bottom