Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Namalizia revolutionary sister(50 episodes) sijatuliaa jicho limedondokea kwa gangnam scandal (episode 123)za episode mia huwa zinavutwaa mpaka kukosa uhondo husika
Hapo kwenye episode 123 nimepiga mahesabu, ikiwa kila episode itachukua 100MB basi itakulazimu iandae zaidi ya GB 12.
 
Wewe uko kama mimi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaona isiwe tabu
 
Hakuna sehemu isiyo na ubaguzi,shida ilipo ni kwamba kawaida kabla ya kufanyiwa ubaguzi mtu mweusi hujianza kujibagua kiimani kwa kujikuta inferior
 
Moon Chae Won dah yale macho yake aisee mazuri sana kama makengeza flani hivi.

I see unampenda ushawahi weka dp yake ya Mama Fairy[emoji23]
Umeona eeh? Na ana kashepu fulani hivi ambako ni nadra kukakuta kwao huko. Nawashangaa akina Joon gi wanakaa single mpaka forty huko warembo kama hawa hawawaoni?
 
😂😂😂😂hio hio
Daaah, ndo ile issue ya TTCL?
kabisaa😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaona isiwe tabu
waafrika tunajibagua ila wahindi na wakorea ni kiboko.
Hakuna sehemu isiyo na ubaguzi,shida ilipo ni kwamba kawaida kabla ya kufanyiwa ubaguzi mtu mweusi hujianza kujibagua kiimani kwa kujikuta inferior
Anyway tumuombee mac Alpho afike korea aje atuhadithie alivyofaidi mi jajanjamion,kimchi etc
 
Umeona eeh? Na ana kashepu fulani hivi ambako ni nadra kukakuta kwao huko. Nawashangaa akina Joon gi wanakaa single mpaka forty huko warembo kama hawa hawawaoni?
Joon Gi alikuwa naye Jeon Hye Bin ili ubize ukawatengenisha Bibie akaolewa na non-celebrity

Kuchelewa kuoa jadi yao kama hadi leo Kim Jong Kook hadi leo hana hata mchumba wa kusingiziwa[emoji23]

Acha tusubiri ubwabwa wa akina Park Shin Hye na Son Ye Jin
 
Mambo yasiwe mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeona eeh? Na ana kashepu fulani hivi ambako ni nadra kukakuta kwao huko. Nawashangaa akina Joon gi wanakaa single mpaka forty huko warembo kama hawa hawawaoni?
Tatizo Korea ndoa sio kipaumbele kabisa..hasa kwa carrier woman/man. Naona wanahisi ndoa inaweza kumkwamisha au vipi..na hata hao wanaooana wengi wao huwa hawadumu kabisa
 
Hivi Son ye jin ipo confirmed? Nilijua ni rumours tu
 
Baadhi wanamaintain kama Ji Sung na Lee Bo Young ama In Gyo Jin na So Yi Hyun tena hii couple ni happy kinoma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kusema ni happy kinoma siku isiyo na jina unasikia boom..divorce. Hawa watu mimi nilishaacha kuwaamini wakisema tunapendana nasema asante, tumeachana nasema amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…