Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Namalizia revolutionary sister(50 episodes) sijatuliaa jicho limedondokea kwa gangnam scandal (episode 123)za episode mia huwa zinavutwaa mpaka kukosa uhondo husika
Hapo kwenye episode 123 nimepiga mahesabu, ikiwa kila episode itachukua 100MB basi itakulazimu iandae zaidi ya GB 12.
 
Mimi nikivutiwa na actress ntampakenyua kila kona, ila mara nyingi utawajua kama ni mfatuliaji wa korean industry in various platforms. Surelly If God wishes kuna siku nitaenda huko nikapaone tu, series zao zimenifanya nitamani kujua mengi sana kuhusu wakorea.

Kasumba yao ni ubaguzi tu.
Wewe uko kama mimi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaona isiwe tabu
ilinishinda hii. actor pekee niliyemfahamu jina na kukariri mpaka leo ni lee minho pekee nilipojaribu kumgoogle aah wakataka kunipunguzia uhondo mara plastic surgey mara katoswa na bae.

kwa ubaguzi wale wapo vizuri maana wao kwa wao tu wanabaguana na kubullyiana vibaya mno. kwenye mail zao ni ngumu mno kumuona muafrika naona wameutenga mji wa itaewon kuwa wa mchanganyiko
 
Hakuna sehemu isiyo na ubaguzi,shida ilipo ni kwamba kawaida kabla ya kufanyiwa ubaguzi mtu mweusi hujianza kujibagua kiimani kwa kujikuta inferior
 
Moon Chae Won dah yale macho yake aisee mazuri sana kama makengeza flani hivi.

I see unampenda ushawahi weka dp yake ya Mama Fairy[emoji23]
Umeona eeh? Na ana kashepu fulani hivi ambako ni nadra kukakuta kwao huko. Nawashangaa akina Joon gi wanakaa single mpaka forty huko warembo kama hawa hawawaoni?
 
😂😂😂😂hio hio
Daaah, ndo ile issue ya TTCL?
kabisaa😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukaona isiwe tabu
waafrika tunajibagua ila wahindi na wakorea ni kiboko.
Hakuna sehemu isiyo na ubaguzi,shida ilipo ni kwamba kawaida kabla ya kufanyiwa ubaguzi mtu mweusi hujianza kujibagua kiimani kwa kujikuta inferior
Anyway tumuombee mac Alpho afike korea aje atuhadithie alivyofaidi mi jajanjamion,kimchi etc
 
Umeona eeh? Na ana kashepu fulani hivi ambako ni nadra kukakuta kwao huko. Nawashangaa akina Joon gi wanakaa single mpaka forty huko warembo kama hawa hawawaoni?
Joon Gi alikuwa naye Jeon Hye Bin ili ubize ukawatengenisha Bibie akaolewa na non-celebrity

Kuchelewa kuoa jadi yao kama hadi leo Kim Jong Kook hadi leo hana hata mchumba wa kusingiziwa[emoji23]

Acha tusubiri ubwabwa wa akina Park Shin Hye na Son Ye Jin
 
kabisaa. ukiwajua sana utaanza wachoka hasa skendo zao ndogo ndogo na kubwa kubwa. chief hong wa cha cha na jamaa wa historical drama ya juzi juzi aliyekwaa skendo ya bullying shuleni kila nikiona drama yake naishiwa pozi. drama tamu lakini muhusika kachafuka daah
Mambo yasiwe mengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeona eeh? Na ana kashepu fulani hivi ambako ni nadra kukakuta kwao huko. Nawashangaa akina Joon gi wanakaa single mpaka forty huko warembo kama hawa hawawaoni?
Tatizo Korea ndoa sio kipaumbele kabisa..hasa kwa carrier woman/man. Naona wanahisi ndoa inaweza kumkwamisha au vipi..na hata hao wanaooana wengi wao huwa hawadumu kabisa
 
Joon Gi alikuwa naye Jeon Hye Bin ili ubize ukawatengenisha Bibie akaolewa na non-celebrity

Kuchelewa kuoa jadi yao kama hadi leo Kim Jong Kook hadi leo hana hata mchumba wa kusingiziwa[emoji23]

Acha tusubiri ubwabwa wa akina Park Shin Hye na Son Ye Jin
Hivi Son ye jin ipo confirmed? Nilijua ni rumours tu
 
Baadhi wanamaintain kama Ji Sung na Lee Bo Young ama In Gyo Jin na So Yi Hyun tena hii couple ni happy kinoma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaweza kusema ni happy kinoma siku isiyo na jina unasikia boom..divorce. Hawa watu mimi nilishaacha kuwaamini wakisema tunapendana nasema asante, tumeachana nasema amina.
 
Back
Top Bottom