Huyu Moon Chae Won nilimuelewa zaidi kwenye GOODBYE MR BLACK, ile drama alijua kuicheza. Kwenye hiyo movie niliokiwa nakachukulia kama ka-teenager nilikuja kushangaa kumbe kama mika 32 kwa muda huo (2016).Mimi ije mvua lije jua most beautiful actress ni Moon chae won....nampenda yule mdada jamani
Hilo liko wazi, wakorea ni wabaguzi hakuna mfano ndomaana hâta kwenye drama zao ni ngumu sana kukuta rangi nyeusi tofauti na Hollywood.😂😂😂😂hio hio
kabisaa😂😂😂
waafrika tunajibagua ila wahindi na wakorea ni kiboko.
Anyway tumuombee mac Alpho afike korea aje atuhadithie alivyofaidi mi jajanjamion,kimchi etc
Hilo liko wazi, wakorea ni wabaguzi hakuna mfano ndomaana hâta kwenye drama zao ni ngumu sana kukuta rangi nyeusi tofauti na Hollywood.
Mimi ni lazima nitafika tu huko.
Ninavyompenda utadhani nimeangalia kazi zake zote kumbe hamna kitu. Nimeangalia kama nne tu sasa hivi ndio nataka niangalie The Princess' manHuyu Moon Chae Won nilimuelewa zaidi kwenye GOODBYE MR BLACK, ile drama alijua kuicheza. Kwenye hiyo movie niliokiwa nakachukulia kama ka-teenager nilikuja kushangaa kumbe kama mika 32 kwa muda huo (2016).
Hawa wakorea sijui inakuwaje hawazeeki.
Mkuu haka kamseleleko ulikotupatia mbona mimi kananishinda? Nimejaribu kila muda nimeshindwa...au nikibahatika kupata network inapakua kidogo ikifika kama asilimia 50 au 30 inasimama haiendelei tenaJoon Gi alikuwa naye Jeon Hye Bin ili ubize ukawatengenisha Bibie akaolewa na non-celebrity
Kuchelewa kuoa jadi yao kama hadi leo Kim Jong Kook hadi leo hana hata mchumba wa kusingiziwa[emoji23]
Acha tusubiri ubwabwa wa akina Park Shin Hye na Son Ye Jin
Inategemea na browser unayotumia nyingi hazimudu,suluhisho ni UC browser ipo vyema.Mkuu haka kamseleleko ulikotupatia mbona mimi kananishinda? Nimejaribu kila muda nimeshindwa...au nikibahatika kupata network inapakua kidogo ikifika kama asilimia 50 au 30 inasimama haiendelei tena
Hii ndio kabisa hata kufunguka haifunguki ila nitaendelea kujaribuInategemea na browser unayotumia nyingi hazimudu,suluhisho ni UC browser ipo vyema.
Hata hivyo hata mimi siku mbili hizi inasumbua nahisi servers zimezidiwa but inaonekana kukaa sawa sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzi wa rikiboy umemletea balaaNimeanza ep 1 ya One ordinary day naona utelezi na kula kimasihara kumemponza jamaa kim hyun soo
😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] uzi wa rikiboy umemletea balaa
Kama kuna mwenye link au app ya kupakua movie/series za kikorea tunaomba atuwekee humu. Kuna series ya THE VEIL naitafuta Sana.
Tuwekee link na sisi tukajioneeTumemaliza salama The King's Affection na happy ending sasa majeshi yanahamia weekend ndani ya SNOWDROP
Hii imeishaje,mana nilianza nayo nilipoona king anakaribia kugundulika kuwa ni she nikaacha mana presha juujuu siwezi kabisa😄Tumemaliza salama The King's Affection na happy ending sasa majeshi yanahamia weekend ndani ya SNOWDROP
Usijali we angalia ni happy ending japo episodes ya 19 na 20 ni full damu kumwagika hali ilikuwa mbaya baada ya yule Prince Wonsan kutaka kufanya mapinduzi na Lord Sangheon hadi akamuua yule Prince Mdogo ambaye ndiye alikuwa anatarajia kuwa mfalme mara tu Hwi akiachia kiti kwa hiyari.Hii imeishaje,mana nilianza nayo nilipoona king anakaribia kugundulika kuwa ni she nikaacha mana presha juujuu siwezi kabisa[emoji1]
Unafatilia series yake.mpya inaitwa Now we are breaking up?ni ongoin now iko episode ya 10Mimi namuona wa kawaida tu aisee..sema ndo hivyo wengi wape. Ila ingekuwa ni mimi, watu wa hiyo age ningempa Song Hye Kyo