Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Huyu Moon Chae Won nilimuelewa zaidi kwenye GOODBYE MR BLACK, ile drama alijua kuicheza. Kwenye hiyo movie niliokiwa nakachukulia kama ka-teenager nilikuja kushangaa kumbe kama mika 32 kwa muda huo (2016).Mimi ije mvua lije jua most beautiful actress ni Moon chae won....nampenda yule mdada jamani
Hawa wakorea sijui inakuwaje hawazeeki.