Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bang won ni hatari na nusu[emoji2] nilimpenda sana kwenye six flying dragon na jang yangsil

Kwenye jang yangsil ndio alikuwa anakufa akijutia matendo yake na mwanae akatake over the throne

Akaruhusu tafiti za mwanasayansi wa kihistoria wa joseon jang yangsil zitumike.
 
Hili swala hata mimi nimekutana kwenye pc sijui kwanini ila kwennye simu ziko poa picha unaona
 
kwa mujibu wa drama ya the great king sejong, Yi bang won alimkabidhi madaraka mwanawe lakini bado akaendelea kushikilia masuala yote muhimu ya nchi mfano jeshi, kwa ufupi alimkabidhi mwanawe jumba tupu.
 
Hahahahaah ila bang won mtata sana[emoji2]
 
wakorea wana misimamo sana hadi raha ila kuna saa ni karaha wanatupunguzia uhondo
 
Kama unatumia airtel chukua hii VPN alafu weka hizo setting kama nilizoweka mimi wanatoa MB 270 kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…