Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Snowdrop ndo kitu yangu mpyaaa

Ila jaman vya bure gharama, wire tun inatesa na zile oops preparation went wrong, Bado uc haijajishut na kuji pause. Naomba nijaribu hizo mpya tu[emoji26]
 
Mie sio mtaalm wa technology hivyo sijui hayo ma namba juu yanamaanisha nini pale kwenye net ukitoa ile alama ya 3G au 4G. sasa hizo namba cheza nazo. kuna simu moja ukiunga zikacheza 1.02 na kuendelea mpaka 123,203 jua net ipo fireee ila ikianza 0.kadhaa net down. simu nyingine ukiunga tu zikacheza 800,900 ,2.1 jua net bomu(mchezo ni kudiconnect kisha connect),ila ikicheza 3,4,5 kisha 10, etc jua net firee. ukishaelewa flow ya net ya simu yako unakua unaivizia pale ipo stable ndipo unapoenda web kuvuta drama yako kisha unabaki kuibembeleza uc ikuletee kwa simu😂😂
Snowdrop ndo kitu yangu mpyaaa

Ila jaman vya bure gharama, wire tun inatesa na zile oops preparation went wrong, Bado uc haijajishut na kuji pause. Naomba nijaribu hizo mpya tu[emoji26]
 
Hahaha haya maelekezo ikifika chini yananchanganya zaid

Ila nahisi na simu inachangia sijui, nimeshafanikiwaga kushusha nyingi tu, Ila Kwa siku zinaweza Kua tatu au tano hapo inabid uwe huna kazi.

Kuna itel ninayo embu niijaribu humo

Asante.
 
Chimera incident, serial murder and explosion crime that shook the year of 1984, takes place exactly the same thirty five years later in 2019. Just like the terrible explosion in the past, the murder of the crime is called Chimera, a monster in the Greek myth with the head of a lion, body as a goat, and tail as a snake that shoots fire through its throat.
 
Wale wapenzi wa medical kdrama mzigo unaanza tar 3 january,,
Expectations zangu itakuwa drama kali kwa sababu tVN hawanaga kazi mbovu
Pia kuna mastaa kibao sana walishawahi cheza movie zngne kama vile Signal,Vagabond{kama sijakosea)

2022 watchlist

1.THE GHOST DOCTOR
2... [emoji116][emoji116] Add unazorecommend ziangaliwe
 
Si ya kukosa hii
 
Currently watching
Snowdrop, now we are breaking up, racket boys.

Variety show: king of mask singer, baada ya kumaliza mountain playlist nimerudi kweny ulevi wangu.

Kwa msaada wa ha tunnel
Nina the one and only, reflection of you, artificial city na Jirisan Bado sijazianza.

Nipew nin[emoji1787]

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimenasa kwa wire mfano leo ipo kasi sana. kwa fujo nimevuta nyingine hata sizielewi elewi ili mradi niwe na akiba za kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…