Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimefika mwisho naona sio ndoto ni kweli ila ndo vile director aliogopa reactions za wadau akachanganya na ndoto
Yah kajaribu kutuliza mioyo still imeniacha na maumivu ila OST zake ndio zimenituliza ni matata sana hasa hii ya mwisho ya Lia wa Itzy inaitwa Always be your star
 
Mkuu tutajuta au hatutojuta
 
Asante..ikiisha nashusha. Kwa sasa nna stock tu nikitulia naanza moja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…