Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna hii Inno kairecommend naona ni ongoing

Pia kuna hii ina season mbili naona mbeleni itakua na ya tatuLove (ft. Marriage and Divorce)
Umetumia muda gani Numby,kuimaliza yote?

Naomba jina la drama nzuri ya wanandoa iwe kama ile The World Of Married iwe ina mambo ya kucheat cheat na revenge [emoji3]
Nimetumia wiki kadhaa tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚niliianza december sema nilikua naangalia huku kitufe cha kupeleka mbele kikiwa karibu
 
Asante sana Numby, naomba nianze na hii Love(Ft Marriage and Divorce)..kwanza Nimeipenda jina lake tu [emoji3]

Hahaha kitu ambacho huwa siwezi ni kuangalia movie au series halafu niwe naiforward, huwa siwezi ni bora nikomae nayo hivyo hivyo huwa sitaki nipitwe na kitu hata kidogo [emoji3][emoji3]
 
Hii family drama kuanzia episode 1 hadi mwisho nimeangalizia kwenye simu. Maana nikiwa karibu na laptop kuna drama nyingine nikiwa kwenye mizinguko nikatulia sehemu simu mkombozi,sasa kwenye simu nipo fasta kufoward
 
Wewe ndio uko kama mimi... Huwa sitaki nipitwe kwenye point yoyote hata iwe ndogo namna gani
 
Sio kwamba amecheza na script
Mchek kwenye
Itaewon class
Her private life
My name
Yumi kaniuma kuachana nae
Kweny Itaewon Class alikuwa mse.nge kweli, nilikuja kugundua baadae sana kuwa ndio yeye. Nasubiria kwa hamu kapo ya Bobby na Yumi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Hee kumbe yupo mule(ati sikumuonamo, itaewon na her private life)nikadhan yumi ndo ya kwanza kucheza. Mie nilifurahi couple ilikua imepooza mno.
Sio kwamba amecheza na script
Mchek kwenye
Itaewon class
Her private life
My name
Yumi kaniuma kuachana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…