Bora usubirie magazeti ya DAEMUSHIN kuliko kusubiria daladala stend za mwendokasiπππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Numby bhana acha hizo. Usinikumbushe Park Si hoo alivyokuwa amezubaa kwenye king maker hadi nilikuwa naona uvivu kutazama drama zake zingine
Kweny Itaewon Class alikuwa mse.nge kweli, nilikuja kugundua baadae sana kuwa ndio yeye. Nasubiria kwa hamu kapo ya Bobby na Yumi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
At A Distance Spring Is GreenHii drama inaitwaje
Asante mkuuAt A Distance Spring Is Green
Kwamba haipo? Mbona season two wamesema watakuwa wapenzi au sijaelewa
HahahahahKitaalamu tunaitaje hii?[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2087563
Yaani we acha tu, na sidhani kama inaishia season twoHee aliyewafundisha wakorea masuala ya seasons atafutwe atupiwe zigo lote la tozo. Yumi mbona naona ilikamilika ndani ya season one
Nilimchukia mule khaaaKweny Itaewon Class alikuwa mse.nge kweli, nilikuja kugundua baadae sana kuwa ndio yeye. Nasubiria kwa hamu kapo ya Bobby na Yumi[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ndo SLM kweny hizo drama zoteHee kumbe yupo mule(ati sikumuonamo, itaewon na her private life)nikadhan yumi ndo ya kwanza kucheza. Mie nilifurahi couple ilikua imepooza mno.
[emoji1787][emoji1787] yaaniNilimchukia mule khaaa
Inahusiana na niniMan 2 man
Niko naangalia moonshine siielewi kabisa yani
Inategemea wewe unaweza kuipenda. Mine pia niliipenda sana, ni drama ambayo nilishindwa kabisa kumchukia villain[emoji1787]Duh halafu nimeivuta hadi episode 10 ila nipo busy na MINE kwanza
Inategemea wewe unaweza kuipenda. Mine pia niliipenda sana, ni drama ambayo nilishindwa kabisa kumchukia villain[emoji1787]
Unaona wote wema eeh? Yupo villain sema mlaini laini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwenye mine kuna villain!!? maana hadi episode ya 11 sijatokea kumchukia yeyote. Ka first born kalevi na vituko vyake vinafurahisha
Kimoi tv mimi ndio hupakua hukoWebsite gani naweza kupakuwa hizi series za Korea, China, Japan na nyinginezo?