Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

aaah huyo handsome ji yong naona kama ananogesha story. Ila duh kaigiza roho ngumu kushuhudia watu wakipigana mpaka kuumizana kisa furaha yake
Ndio starehe yake eti[emoji16][emoji16] watu wengine wa ajabu kweli...ila hatofautiani na wale wanaopenda kuangalia mashindano ya ngumi
 
Bora wale wa ngumi maana huyu hatari anaangalia mwenyewe na kutaka wauane hajali ni ndugu au watu baki
Ndio starehe yake eti[emoji16][emoji16] watu wengine wa ajabu kweli...ila hatofautiani na wale wanaopenda kuangalia mashindano ya ngumi
Nimeitafuta humo haipo ila kimoi ipo japo jina wamebadili kidogo ilishaletwa link yake huku
Huku nkiri sijawahi kuingia ngoja nitajaribu nataka niangalie innocent defendant naona kimoi haipo
 
Bora wale wa ngumi maana huyu hatari anaangalia mwenyewe na kutaka wauane hajali ni ndugu au watu baki

Nimeitafuta humo haipo ila kimoi ipo japo jina wamebadili kidogo ilishaletwa link yake huku
Wameiitaje tena jamani maana nimejaribu kugugo jina lingine sijaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…