✓The Last ( Hii ina mkono alafu ina story nzuri ndani yake )Wadau Weekend hii nahitaji kuangalia series ya Kikorea ya Action hatari zaidi ya Vagabond.
Tafadhali naombeni mnitajie majina ya Series hizo.
Mi nikazani labda mood yangu kumbe mbaya kweli🤣Naangalia The Tragedy of one hapa najikaza tu iishe..sijawahi kuona drama mbaya kama hii
Mbaya aiseeMi nikazani labda mood yangu kumbe mbaya kweli[emoji1787]
All of us are dead nilipanga kuivuta kesho hapa nfl nakutana hivi na hii comment yako, ni nzuri??Tumetoka kumaliza All Of Us Are Dead bado tunaendelea kuwa stans wa Cho Yi Hyun hata baada ya School 2021[emoji7]
Nimeipenda hii selca utasema Young Version ya Jeon YeoBin View attachment 2105033
Red sleeve nimeicheki haikunivutia kabisa.Hahahah mpaka unajiuliza kwani nakuwa monitored kutizama.
Mimi Bossam imefanya niogope hizi historical za miaka hii, Nataman kuivuta Io red sleeve Ila trauma ya bossam haijaniacha poa.
Line ya Tigo vipi Mkuu??Ebwana eeh nilikuwa napata tabu kudownload hata episodes 5 kwa Wire Tun kumbe tatizo dogo sana sasa hivi nakimbiza hadi episodes 15 kwa siku speed ya 800kbps hadi 2mbps.[emoji2956][emoji2956]
Halafu mtu akinitext pm anitaarifu hapa mi mvivu kuangalia notifications nimekuta watu zaidi ya 10 message zao za tangu January mwanzoni wakitaka hints ila nna imani washaelewa kupitia kwa wengine
Duh mbona alijibu chini ya comment uliyoquoteTumia line ya Tigo 4G halafu pale ambapo huwa speed inashuka hadi 0.0kbps kama dk 3 we zima data then unawasha inaendelea kusonga tu.
Tigo ni moto speed yake inapiga hadi 2mbps now ttcl natumia muda wa kuperuzi tu
Line ya Tigo vipi Mkuu??
Hii ni korean drama ipi? Of course huyo mzee anajulikana kama mzee wa kazi chafuHuyu mzee unamjua!?[emoji2][emoji1787]
Ukikutana nae kwenye series usiiache,[emoji2]View attachment 2115257
Bossam:Steal the fateHii ni korean drama ipi? Of course huyo mzee anajulikana kama mzee wa kazi chafu
Kama ni hiyo nimeshaichekiBossam:Steal the fate
Yah drama tamu pia life and friendship inafikisha mbali yule jamaa ambaye anasoma huku anapiga kazi mbalimbali ili asaidie familia yake yaani hata kwa kulala ilikuwa shida ili tu amsomeshe mdogo wake aisee ilinigusa sana.Kuna mdau humu alisuggest series ya at a distance,the spring is green!
Big up kwake,ile series fupi ila imenifanya nikumbuke life la ujana na jinsi tulivyokua tu tunafall in love kizembe bila kuwaza nikajikuta nacheka sana,yan nimekumbuka life la chuo!
Nimewaza mbali sana,
Uzi udumu huu!
Mi mwenyewe alinigusa sana mana ndo struggle tunapitia na tulipitia,unakuta akili ya darasani unayo ila ada sasa ndo kipengeleYah drama tamu pia life and friendship inafikisha mbali yule jamaa ambaye anasoma huku anapiga kazi mbalimbali ili asaidie familia yake yaani hata kwa kulala ilikuwa shida ili tu amsomeshe mdogo wake aisee ilinigusa sana.
Hivi ni nzuri kweli maana nimeishia episode ya pili .Snowdrop mandhari kama ya reply 1988 sijui huwa wanafanyaje kurudisha mambo yote miaka ya nyuma.
Drama za 2021 nyingi wameboronga unakuta nyingine mwanzo nzuriii ila umaliziaji mbovu. Hope mwaka huu burudani itakua safi mwanzo mwisho
Hii ndio inaniboaga wanakuwa si wabunifu kingine unakuta Korean drama nyingi za romance zinamaudhui ya kwamba main character waanza mahusiano wakiwa watoto wanapotezana hapo Kati Kati wanakutana wakiwa wakubwa yaani najiuliza kwani lazima story zao ziwe hiviSnowdrop mandhari kama ya reply 1988 sijui huwa wanafanyaje kurudisha mambo yote miaka ya nyuma.
Drama za 2021 nyingi wameboronga unakuta nyingine mwanzo nzuriii ila umaliziaji mbovu. Hope mwaka huu burudani itakua safi mwanzo mwisho
Hii ndio inaniboaga wanakuwa si wabunifu kingine unakuta Korean drama nyingi za romance zinamaudhui ya kwamba main character waanza mahusiano wakiwa watoto wanapotezana hapo Kati Kati wanakutana wakiwa wakubwa yaani najiuliza kwani lazima story zao ziwe hivi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakorea wanafurahisha 😂😂😂😂😂kuna actor mmoja(saiv yupo kwenye young lady and gentleman)huyu jamaa kila drama anayoigiza lazima apoteze fahamu/kumbukumbu kwa muda