✓The Last ( Hii ina mkono alafu ina story nzuri ndani yake )Wadau Weekend hii nahitaji kuangalia series ya Kikorea ya Action hatari zaidi ya Vagabond.
Tafadhali naombeni mnitajie majina ya Series hizo.
✓Innocent Defendant ( hii pia ina story nzuri kuliko series yoyote ya action niliyowahi kuicheki )
✓The Veil