Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Snowdrop mandhari kama ya reply 1988 sijui huwa wanafanyaje kurudisha mambo yote miaka ya nyuma.

Drama za 2021 nyingi wameboronga unakuta nyingine mwanzo nzuriii ila umaliziaji mbovu. Hope mwaka huu burudani itakua safi mwanzo mwisho
Umecheki Different Dreams?

Ile ni 1931-1933 mazingia yake yote yamekaa kizamani i think zile location sijui zinatumika visual effects!
 
Bado nitaitafuta. Itakua visual maana eneo hilo hilo moja inaonyeshwa miaka ya zamani kisha wanarudi miaka ya sasa .Pia ninayo ya life on Mars nayo ina mazingira ya zamani
Umecheki Different Dreams?

Ile ni 1931-1933 mazingia yake yote yamekaa kizamani i think zile location sijui zinatumika visual effects!
 
Wakuu naomba mnisaidie series yenye action kali sana ya kikorea inayo endana na six flying dragon mi story sipendagi sijui kwanini tu.
 
Wakuu naomba mnisaidie series yenye action kali sana ya kikorea inayo endana na six flying dragon mi story sipendagi sijui kwanini tu.
Kwa sasa drama kama hizi ni adimu ila cheki River Where The Moon Rises ina moto mwanzo mwisho
 
Wadau Weekend hii nahitaji kuangalia series ya Kikorea ya Action hatari zaidi ya Vagabond.
Tafadhali naombeni mnitajie majina ya Series hizo.
Nilipitia hii thread nikaenda tafuta hio vagabond ila imeisha kizembe am not Sure kama ndo mwsho kipande cha 61 chenye dk 7.... from dj skills...iliishia pale chal di geoun sijui kamuu jerome ...ila sijui wapi kaishia Edward park,, na steling wa picha yetu inamaana hakukutana tena na yule demu,, haya wale jessica na yule dem after gerezan inamaana hakuoneshwa tena?
 
Tatizo lako ni kuangalia kwenye madj wanaotafisiri movie hawa wanakawaida ya kukatakata vipande vya movie kama sikosea hiyo Vagabond yenyewe ina episode 18 tu
 
Sometimes drama kuanzia mbele then inarudi nyuma story kunavunja moyo unaweza predict ending kama ile Youth Of May.

Haya sasa na kiherehere chetu tulioanza na Twenty Five Twenty One mwanzoni licha ya kuwa itakuwa Love Story nzuri ila tushasense Baek Yi Jin na Na Hee Do hawatakuwa pamoja maana binti ya Hee Do ni Kim[emoji45]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Snowdrop mandhari kama ya reply 1988 sijui huwa wanafanyaje kurudisha mambo yote miaka ya nyuma.

Drama za 2021 nyingi wameboronga unakuta nyingine mwanzo nzuriii ila umaliziaji mbovu. Hope mwaka huu burudani itakua safi mwanzo mwisho
Hivi hii snowdrop ni nzuri au nisipoteze mb zangu?
 
Episode 61 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Hakuna mtu anaefanya maamzi ya kufall in love, inatokea tu pasipo kuamua. Labda kama umeshindwa kutofautisha kati ya kuingia kwenye mahusiano na swala la ku-fall in love.

Unaweza ukawa kwenye mahusiano na usiwe umefall in love, ku-fall in love ni hatua ya juu kabisa kwenye mapenzi ambayo ukishaingia huko kutoka kwake ni kwa maumivu makali sana.


NB: Ukikutana na waliowahi kufall in love watakueleza.
 
Hmmmh, VAGABOND ina sehemu 61?? Huu upuuzi niliukataa tangu 2009 maana series zinakatwa kupita kiasi na quality inapotea kabisa, mimi nipe subtitles tu.
 
Niko nayo 25,21 [emoji16]
Na hiyo forecasting pia
Ila variety ya mama is an idol ni kisanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…