Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Duu bas simu yako itakuwa na uwezo zaidi,Sio kwa muda,mimi natumia hii 24hrs na muda huu nadownload Gangnam Beauty yaani inapiga hadi 1.9+mbps ikishuka sana ni 500kbps
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Unatumia line gani?? Tigo inakubali??Niko na wire tun mda huu ni mwendo wa kushusha vitu tu [emoji1][emoji1]View attachment 2126285
Ndo hiyo hiyoHiyo app mnayosema ndo hii??View attachment 2126291
Ndiyo ninayotumiaUnatumia line gani?? Tigo inakubali??
Natumia Kimoitv,Nkiri,Seriezuploded n.kImebidi niunge tu bundle kwa kweli..imenishinda tabia. Unatumia website gani kudownload
Ukijiunga kwenye telegram zao ndo inakuwa vyepesi zaidi kusearch link za series.Natumia Kimoitv,Nkiri,Seriezuploded n.k
Duuh una bahati sana mzeeSio kwa muda,mimi natumia hii 24hrs na muda huu nadownload Gangnam Beauty yaani inapiga hadi 1.9+mbps ikishuka sana ni 500kbps
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Mimi kila siku natumia zaidi ya GB 3 aa TTcl na sijawai kutoa hata miaKila wiki natumia buku 10 TTCL kwa usawa huu si fair kabisa [emoji2]
Kimoi nimewapenda sana wana varieties za series nyingi na movi kibao tofaut na nkir na hko kwingine wamebase kwenye ukorea tu.Natumia Kimoitv,Nkiri,Seriezuploded n.k
Sema Nkiri wana za kizungu nyingiKimoi nimewapenda sana wana varieties za series nyingi na movi kibao tofaut na nkir na hko kwingine wamebase kwenye ukorea tu.
Kwa mnaotumia Tigo zameni telegram search hii app speed yake hata bundle halioni ndani inapiga hadi 5mbps.
Kwangu inajistop sijaifaidi kabisa View attachment 2127317
jaribu hio ya telegram kwa tigoHiyo app mnayosema ndo hii??View attachment 2126291
Asante kwa mwongozo.
Toa maujanja mzeeMimi kila siku natumia zaidi ya GB 3 aa TTcl na sijawai kutoa hata mia
Tumia app ya HA tunnel plusToa maujanja mzee
Hii nayo inatumika hata ukiwa huna bundle?Tumia app ya HA tunnel plus
Bila bando ndioHii nayo inatumika hata ukiwa huna bundle?