Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu jamaa kanichekesha sana kwenye ALL OF US ARE DEAD. Wakorea wako vizuri sana kwenye uandishi wa script, hawatumii nguvu kubwa kukufanya ucheke.
Screenshot_20220222-002139.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio utoe maelezo boss

Laini ipi !?

Una connect vipi!?
Ttcl, unatakiwa upakue hiyo ha tunnel play store kisha upate file lake ambalo utakuwa unaimport kila ukitaka kutumia...nilijaribu kutuma file hapa jf nikashindwa
 
Ndani ya GHOST DOCTOR
Nakushuru kunijuza young lady and gentleman
Mana nacheka mpaka basi,hii episode mama ake wa kambo mr.lee anataka kujiua baharini alafu akaona maji ya baridi akaahirisha mana nimecheka nusu nizimie!😂😂😂
Yule maza ni noma sana kwenye kuigiza sio kwa kuwaita wenzie parasite😂😂
 
😂😂😂😂😂wakorea wana komedi zao nyepesi zinazoleta kicheko na tabasamu

Back
Top Bottom