Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ndio utoe maelezo boss

Laini ipi !?

Una connect vipi!?
Ttcl, unatakiwa upakue hiyo ha tunnel play store kisha upate file lake ambalo utakuwa unaimport kila ukitaka kutumia...nilijaribu kutuma file hapa jf nikashindwa
 
Ttcl, unatakiwa upakue hiyo ha tunnel play store kisha upate file lake ambalo utakuwa unaimport kila ukitaka kutumia...nilijaribu kutuma file hapa jf nikashindwa
Tuelekeze tu tunalipataje hilo file bado hujatusaidia mkuu
 
Ndani ya GHOST DOCTOR
Nakushuru kunijuza young lady and gentleman
Mana nacheka mpaka basi,hii episode mama ake wa kambo mr.lee anataka kujiua baharini alafu akaona maji ya baridi akaahirisha mana nimecheka nusu nizimie!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yule maza ni noma sana kwenye kuigiza sio kwa kuwaita wenzie parasiteπŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wakorea wana komedi zao nyepesi zinazoleta kicheko na tabasamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…