Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

While You Were Sleeping (2017)

Touch Your Heart

Love in the Moonlight

naongezea kama khantwe

Forest

Fight for my way

The liar and his lover
Hiyo touch your heart nimejaribu kufikiria hilo jina nilisahau kabisa ila drama yenyewe nilikuwa naikumbuka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ile haieleweki usiirudie. Nilianza nayo sikuielewa nikaenda nayo hivyo hivyo labda nitaambuliapo kiss scenes ila waapi hadi mwisho hamna
Hivi hii Mr Sunshine mbona kama mnataka kunifanya niizongatie tena?

Niliangalia episode kama nne tu nikaachana nayo baada ya kuona haieleweki.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ile haieleweki usiirudie. Nilianza nayo sikuielewa nikaenda nayo hivyo hivyo labda nitaambuliapo kiss scenes ila waapi hadi mwisho hamna
Lakini huwa nashangaa kuona ina ratings kubwa na inasifiwa sana, kweli kila mtu huwa anakuwa na mtazamo wake.

Nadhani ukubwa wa mwigizaji ndo umefanya iwe hivyo.
 
😳😳😳😳kumbe asante sana mkuu. Ngoja nikaifate fasta

Mrejesho nimeenda kuangalia dramacool9 wana episode 43 tu. Umeona dramacool ipi?

Unajua young lady and a gentleman iko dramacool?yani episode 52 zote wameweka
 
😳😳😳😳kumbe asante sana mkuu. Ngoja nikaifate fasta

Mrejesho nimeenda kuangalia dramacool9 wana episode 43 tu. Umeona dramacool ipi?
Dramacool kwenye website yao
Nimeona adi episode 52 au itakua nilivurugwa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mitandao hii kiboko kabisa,sa hii ndo naisearch tena nakuta wanayo mwisho 43πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😳😳😳😳kumbe asante sana mkuu. Ngoja nikaifate fasta

Mrejesho nimeenda kuangalia dramacool9 wana episode 43 tu. Umeona dramacool ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…