Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Iko poa sana [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
IMG_20220225_235610.jpg
 
😂😂😂😂ile haieleweki usiirudie. Nilianza nayo sikuielewa nikaenda nayo hivyo hivyo labda nitaambuliapo kiss scenes ila waapi hadi mwisho hamna
Lakini huwa nashangaa kuona ina ratings kubwa na inasifiwa sana, kweli kila mtu huwa anakuwa na mtazamo wake.

Nadhani ukubwa wa mwigizaji ndo umefanya iwe hivyo.
 
😳😳😳😳kumbe asante sana mkuu. Ngoja nikaifate fasta

Mrejesho nimeenda kuangalia dramacool9 wana episode 43 tu. Umeona dramacool ipi?

Unajua young lady and a gentleman iko dramacool?yani episode 52 zote wameweka
 
😳😳😳😳kumbe asante sana mkuu. Ngoja nikaifate fasta

Mrejesho nimeenda kuangalia dramacool9 wana episode 43 tu. Umeona dramacool ipi?
Dramacool kwenye website yao
Nimeona adi episode 52 au itakua nilivurugwa?😂😂😂😂😂
Mitandao hii kiboko kabisa,sa hii ndo naisearch tena nakuta wanayo mwisho 43😂😂😂
😳😳😳😳kumbe asante sana mkuu. Ngoja nikaifate fasta

Mrejesho nimeenda kuangalia dramacool9 wana episode 43 tu. Umeona dramacool ipi?
 
Back
Top Bottom