shukurani sana mkuu wacha nizicheki hapaTafuta series zifuatazo
1.emperor wang gun
2.emperor of the sea
3.king's dream
4.king dae jo yeong
5.yeom gae so mun
6.adimiral yi soo shin
7.king geonchoggo etc
pamoja sana mkuuNyingine Six Flying Dragon
Lee Kang Too na Shenji Kimura hawajakuvutia??Jamani mimi pamoja na ubobezi wangu uliotukuka ktk Korean series sijatokea kuipenda bridal mask kabisa.
Yani ktk series zangu kali ile haisogei hata kwenye 20 bora [emoji13]
Kiduchu kwa zile martial arts skills basi.Lee Kang Too na Shenji Kimura hawajakuvutia??
Iangalie tu kama hujaanza bado my love, utaipenda tu.Kiduchu kwa zile martial arts skills basi.
Huwa siielewi kabisa ile drama.
Iangalie tu kama hujaanza bado my love, utaipenda tu.
Mwanzo haieleweki eleweki ila mbele inanoga sana.
Mapenzi, Visasi, Ubaguzi (Jap vs Joseon), etc ni moja ya vitu ambavyo utavikuta mule.
By the way natafuta series ingine yenye mkono, ishale au swords mwanzo mwisho ya kikorea, msaada basi wa list my dearest Baby Nifah .
Nimeangalia Man Called God, Jumong, Emperor of the Wind, Bridal Mask, so usiziweke
Nimetamani kuangalia hiyo uliyoizibia usoHiyo bridal mask na my girlfriend is gumiho sitokaa nipoteze muda kuziangalia kabisa.
Nilishazitoa akilini kitambo...zipo series kibao kwanini nishindane na moyo wangu?
Ney ney...[emoji113]
Angalia warrior baek dong soo...ni nzuri sana.
Humo wazee wawili wanaoneshana kazi ya ufundi & uhodari wa kucheza na swords achaaaaa,ni moto.
Na hata kisa chake kinasisimua sana.
Pia Princess Jamyung (hii mwanzo nililia sana),Queen Seondoek (Second)
Pia inspiring generation ni nzuri.
Ngoja nitafakari nyingine maana nimeangalia nyingi hadi nimesahau nyingine Wallah.
Inabidi niwe narekodi nilizokwisha kuziangalia.
cc johnsonmgaya sio mbaya ukacheki na hizo chache plus
-Fated to love you
-My love from the star
-The moon that embraces the sun
-The Heirs
-Personal taste
-Faith
-Frozen flower (hii ni noma [emoji85] )
-Spy girl (movie)
-My Young Wol The Spy
-Temptation of an angel
-Road number 1
-King 2 hearts
Etc etc
Hahahahahaaaaa uwiiiiiiii najua wengi wataanza na hiyo.Nimetamani kuangalia hiyo uliyoizibia uso
Ina nini kwani??Hahahahahaaaaa uwiiiiiiii najua wengi wataanza na hiyo.
Binadamu sisi viumbe wa ajabu sana.
Ina nini mbona unantia hamuHahahahahaaaaa uwiiiiiiii najua wengi wataanza na hiyo.
Binadamu sisi viumbe wa ajabu sana.
Ahsante Baby Nifah,Hiyo bridal mask na my girlfriend is gumiho sitokaa nipoteze muda kuziangalia kabisa.
Nilishazitoa akilini kitambo...zipo series kibao kwanini nishindane na moyo wangu?
Ney ney...[emoji113]
Angalia warrior baek dong soo...ni nzuri sana.
Humo wazee wawili wanaoneshana kazi ya ufundi & uhodari wa kucheza na swords achaaaaa,ni moto.
Na hata kisa chake kinasisimua sana.
Pia Princess Jamyung (hii mwanzo nililia sana),Queen Seondoek (Second)
Pia inspiring generation ni nzuri.
Ngoja nitafakari nyingine maana nimeangalia nyingi hadi nimesahau nyingine Wallah.
Inabidi niwe narekodi nilizokwisha kuziangalia.
cc johnsonmgaya sio mbaya ukacheki na hizo chache plus
-Fated to love you
-My love from the star
-The moon that embraces the sun
-The Heirs
-Personal taste
-Faith
-Frozen flower (hii ni noma [emoji85] )
-Spy girl (movie)
-My Young Wol The Spy
-Temptation of an angel
-Road number 1
-King 2 hearts
Etc etc
Mapenzi deep na ni historical. Iangalieni sio ndefu sana ila ni amaziiiiiing [emoji23] [emoji85]Ina nini mbona unantia hamu
Ina nini kwani??
Mkono au Mapenzi??
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mapenzi deep na ni historical. Iangalieni sio ndefu sana ila ni amaziiiiiing [emoji23] [emoji85]
Usisahau tu kunipa mrejesho maana najua unaenda kuianza soon [emoji4] [emoji12][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Unapenda za Mapenzi eee???[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]