Hivi watu wana mapepo au namna gani, hivi mtu mwenye akili timamu anafanyaje upuuzi wa kwenda kujitapa kwa wenye mtandao waoWiki kadhaa nyuma nilikua natumia ha tunnel plus files unapata groups za telegram sema stock imejaa nimetulia kwa wiretun kuperuzi tu zote unatumia ttcl. Adownload playstore wiretun haiitaji files(anaweza tumia kwa tigo au ttcl)
Kulikua na vpn nyingi sema wabongo hawana dogo si wakaenda kujitapa page za tigo ,airtel kuwa hawanunui bando wanapata bure kwa vpn. Vpn nyingi zimefungwa.
Hivi watu wana mapepo au namna gani, hivi mtu mwenye akili timamu anafanyaje upuuzi wa kwenda kujitapa kwa wenye mtandao wao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wapuuzi sana. Eti tununue bando..bando zipi?? Pambaf kabisaHapo sasa sijui akili za wapi hizo. Kuna wengine wakawa wanauza na utapeli wa kila aina. Kuna mwingine alikua anaenda ofisi za mitandao husika kuripoti hizo VPN ati kwa gia ya uzalendo na kutuma sms za kila aina kwa wenye mitandao madai yake wote tununue bando
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wapuuzi sana. Eti tununue bando..bando zipi?? Pambaf kabisa
Mimi pia huwa nawaza, inamaana huko kwao mayai ni kisicho na thamani kiasi hicho??Hivi wakorea mayai yaliwakoseaga nini au wapi maana wapo fasta kutupiana mayai,hasa mtu akiwa na kosa,mtuhumiwa,,staa au mtu wasiyempenda wanatumia hata trei zima kumponda. Bora wangetumia viza ila haya haya mazima ya kwenye kiepe hasara tupu
Eti jamani, hivi hawawezi kushtakiwa kwa kuharibu chakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii inaenda sambamba na ile eti wako kwenye sherehe mtu kaudhiwa anachukua keki anamkandika nayo mtu usoni. Jamani...keki kweli??? Si utandike tu makofi keki yetu utuachie?Hivi wakorea mayai yaliwakoseaga nini au wapi maana wapo fasta kutupiana mayai,hasa mtu akiwa na kosa,mtuhumiwa,,staa au mtu wasiyempenda wanatumia hata trei zima kumponda. Bora wangetumia viza ila haya haya mazima ya kwenye kiepe hasara tupu
Eti jamani, hivi hawawezi kushtakiwa kwa kuharibu chakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii inaenda sambamba na ile eti wako kwenye sherehe mtu kaudhiwa anachukua keki anamkandika nayo mtu usoni. Jamani...keki kweli??? Si utandike tu makofi keki yetu utuachie?
Mimi pia huwa nawaza, inamaana huko kwao mayai ni kisicho na thamani kiasi hicho??
Nadhani hawajaipiga marufuku hiyo mifuko kwasababu wanaweza kui-manage, tofauti na huku bongo ambako system za waste disposal bado ni mtihani.Yaani inashangaza,ila sijawahi kuona mapishi chips yai kwao. Naona mapishi mengi ya mayai wanakula wenye hela zao hasa muda wa breakfast,pia nikiiona mifuko ya plastic najiuliza wapo dunia ya wapi hawa hawana marufuku ya hio mifuko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ile mtu eti kafika cafe kaagiza kinywaji, ice cream au kitafunwa chochote mara kabla hajala anapokea simu anaacha kila kitu hapohapo anakimbiaNa kuku wanavyozimwaga eti mtu kashtuliwa mpaka mkono ukalegea. Kama ni maigizo wamevuka mipaka waangaliaji tunakua tuna njaa za kutosha tunaona mikuku,keki zinamwagwa. Wanachoheshimu ni wali tu sijaona wakipondeana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kwa bongo sidhani kam inawezekanaπππππ.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ile mtu eti kafika cafe kaagiza kinywaji, ice cream au kitafunwa chochote mara kabla hajala anapokea simu anaacha kila kitu hapohapo anakimbia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ile mtu eti kafika cafe kaagiza kinywaji, ice cream au kitafunwa chochote mara kabla hajala anapokea simu anaacha kila kitu hapohapo anakimbia
Ni kweli kabisa, yaani wenzetu hadi kwenye makazi ya watu maskini mfumo wa taka ni mzuri (kama wanayoigiza ndio ukweli)Nadhani hawajaipiga marufuku hiyo mifuko kwasababu wanaweza kui-manage, tofauti na huku bongo ambako system za waste disposal bado ni mtihani.
Najaribu kuingi PM kwako, nashindwa.
Hii kwa bongo sidhani kam inawezekanaπππππ.
Halafu hivi simu zao huwa ni za kupiga na kupokea tu??
Nadhani hawajaipiga marufuku hiyo mifuko kwasababu wanaweza kui-manage, tofauti na huku bongo ambako system za waste disposal bado ni mtihani.
Najaribu kuingi PM kwako, nashindwa.
Sawa.PM huwa panachosha kuliko jukwaani. Nimefungua karibu