Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hivi watu wana mapepo au namna gani, hivi mtu mwenye akili timamu anafanyaje upuuzi wa kwenda kujitapa kwa wenye mtandao waoWiki kadhaa nyuma nilikua natumia ha tunnel plus files unapata groups za telegram sema stock imejaa nimetulia kwa wiretun kuperuzi tu zote unatumia ttcl. Adownload playstore wiretun haiitaji files(anaweza tumia kwa tigo au ttcl)
Kulikua na vpn nyingi sema wabongo hawana dogo si wakaenda kujitapa page za tigo ,airtel kuwa hawanunui bando wanapata bure kwa vpn. Vpn nyingi zimefungwa.