Asante bibie kwahiyo information pia Kuna new drama ni nzuri mno inaitwa The secret house now nipo episode ya 4
mualiko umeletwa saa 8:30 mchana, hata hao mafukara kwa muda huo wameshajua kilichopikwa kwenye majiko yao. Nafikiria upya uamuzi wangu wa kutaka kuchumbia mwanamke wa kisukuma, si kwa uchoyo huu...Happy Easter. Karibuni wote
mualiko umeletwa saa 8:30 mchana, hata hao mafukara kwa muda huo wameshajua kilichopikwa kwenye majiko yao. Nafikiria upya uamuzi wangu wa kutaka kuchumbia mwanamke wa kisukuma, si kwa uchoyo huu...
ni mzito sana wa kufuatilia hizo variety shows,Hahahha ile variety show yao
Jina lingine three meals a day
Nenda nayo taratibu utaikubali sana bang won ni mnyama mkali[emoji2]hii bang won nipo episode ya 7 apa
ila story yake inaenda taratibu sana
hata mimi nilidhani hivyo lakini imekuwa tofauti,Mambo ya kish..ga kwenye on going drama Military prosecutor ep10 yanakata sana stimu aisee, wakorea wanakwama aisee [emoji35][emoji35]
nimeona mashabiki wengi wanalalamikia uamuzi huo, tatizo kubwa ninaloliona ni kutokujitosheleza kwa taarifa yao kwani walipaswa kuelezea sababu ya msingi ya kutokuendelea kwa waigizaji wa mwanzoni.Copy and paste
arthadal chronicles season 2 inatarajiwa kuanza kushutiwa ila sasa cast wamebadilishwa kutoka song joong ki na kim jiwon hadi kuja wapya ambao ni lee joon gi wa kwenye moonlovers na shin sekyung..
Inahusiana na nini?Kuna dali and the cocky prince wadau
Ambae hajacheki aipitie
ni mzito sana wa kufuatilia hizo variety shows,
nikiwa na bando la kuharibu huwa napenda kuangalia variety show inayoitwa Home Alone (I live alone) inayoonyeshwa kupitia MBC, nafuatilia zaidi short clips zao zinazowekwa youtube na account ya kocowa tv (sijawahi kuangalia full episode) kwa sababu huwa wanazitafsiri.
==== >> is a reality show that portrays everyday lives of your favorite celebrities in the most intimate setting
nyota wengi wa korea hususani wale ambao hawajaingia kwenye ulimwengu wa ndoa wana maisha ya kawaida sana tofauti na vile tunavyowaona kwenye ulimwengu wa sanaa na wengi wao wanaishi kwenye apartments.
huwa navutiwa zaidi na design za nyumba zao.
Copy and paste
arthadal chronicles season 2 inatarajiwa kuanza kushutiwa ila sasa cast wamebadilishwa kutoka song joong ki na kim jiwon hadi kuja wapya ambao ni lee joon gi wa kwenye moonlovers na shin sekyung..
hizo video unatakiwa uzigeuze (convert) kutoka extension ya .TS kuelekea .MP4, kuyafanya hayo unahitajika kuwa na software ya VLC media player. Kuanzia leo tumia website ya (kimoitv.com) kupakua video kwa sababu video zao zote zipo kwenye format ya MP4. Nafikiri dvd na hata simu ndogo zinasupport kucheza video hizo. Pole sanaMimi naomba msaada wa namna y kuconvert episodes au movie nazodownload kutoka nkiri.com ziweze kuplay kweny TV pia
kuanzia leo tamka lee byung hun.umeshakuwa mtu mzima (legendary) kwenye huu ulimwengu wa hallyu stars. Unatakiwa uyajue majina yao kama unavyozijua nyimbo za diamond. Uzembe muachie Numbisa na wasukuma wenzake , kama huko kwao hawawezi kutamka neno urojo kwa usahihi wataweza kutamka majina ya wakorea, watakatika nyama za ulimi.Huyu ni mr sunshine?
Ntaiangalia definetly
dali ni mwanamke (mfano chelsea) na cocky ni mwanaume (mfano arsenal). Bado hujaelewa tu,Inahusiana na nini?