Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

tuachane na hizi hadithi za upendo.
=============
hivi wale wahindi wana mchekeshaji mwengine mwenye ubora kama johnny lever?

nimetoka kuimalizia project ya Dong Yi, jambo moja jengine kubwa lililonivutia humu ndani ni hii nguvu ya comedians
(wameonyesha uwezo mkubwa sana), kwa ufupi sikutegemea kumuona huyu mshkaji anayeitwa yeo ho min a.k.a oh yi from jumong drama
akiulainisha muda wangu kwa vituko vyake (sijawahi kumuona akiigiza comedy).

pembeni alikuwepo mo palmo
yule afande masharubu (ni mara yangu ya kwanza kumuona)
lee kwang soo
yule mzee aliyeigiza emperor of the sea

wenzetu wakorea sanaa yao itachukua muda sana kufifia na sababu kubwa hawa wavimba macho wamejaza utitiri mkubwa wa vipaji kwa kila eneo (sanaa yao haitegemei nguvu ya msanii fulani tofauti na wengineo)

ukitaka ahjummas wamejaa
ukitaka ahjussi wamejaa
ukitaka watoto kila siku wanazaliwa upya
ukitaka majambazi uchwara kila siku wanazaliwa

kongole kwao kwa huu uwekezajii walioufanya kwa miaka hii 20 ya mafanikio, safari ndio inaendelea na ni matumaini yangu wakorea hawatobweteka

🙏🙏🙏🙏🙏
Mo Palmo safi sana uyu mzee..
nimekumbuka scene moja wadau wa south faction wapo kwenye kikao wanatoa point Mo palmo yy ikifika zamu yake anasema "older brother" tu. (kwa kikorea spelling zimepita kushoto)
 
Hawa kimoi tv ni washenzi sana website imejaa ads hadi kero, kila ukibonyeza ads ukirudi back ads wangese sana hawa.

Kuna movie nilitaka kudownload hadi nimeahirisha.
 
Mie dramacool hadi nimeshaisahau ina matangazo mengi na ngumu kudownload drama yoyote,dramanice,daeback niliteseka enzi zinavuma ila zilinipa uzoefu wa kuyakwepa matangazo. Kimoi na nkiri sihami. Wabarikiwe waliotupa majina ya hizi site bila kusahau ujanja wa kitonga full bata no bando stress
Mna moyo sana aiseeh, mimi nakereka hadi natamani kutupa simu chini. Hiyo website siwezi kuridi tena.
 
Mie dramacool hadi nimeshaisahau ina matangazo mengi na ngumu kudownload drama yoyote,dramanice,daeback niliteseka enzi zinavuma ila zilinipa uzoefu wa kuyakwepa matangazo. Kimoi na nkiri sihami. Wabarikiwe waliotuoa majina ya hizi site bila kusahau ujanja wa kitonga full bata no bando stress
Kitonga bado ha tunnel iko moto? Mimi line ya ttcl nimepoteza kama bado ipo nikasajili nyingine aisee
 
Mna moyo sana aiseeh, mimi nakereka hadi natamani kutupa simu chini. Hiyo website siwezi kuridi tena.
Tumia Opera mini hii old version hutaona hiyo kero tena
Screenshot_20220520-150331.jpg
 
Hamuwezi amini licha ya kuingia kwenye ulimwengu wa korean dramas 2015, keo ndo naingalia DONG YI baada ya kuipuuza kwa muda mrefu sana licha ya kuwa recommended kwa muda mrefu sana.

Hii ni baada ya kukosa series za maana.
 
Afadhali umetoka kwenye wingu la south vs north maana nimesaka drama ya aina ile sijaipata.

Kuna Encounter (ya mjini)flower in prison(ya magauni,vijijini)kama hujawahi kuziangalia vuta ni nzuri
Hamuwezi amini licha ya kuingia kwenye ulimwengu wa korean dramas 2015, keo ndo naingalia DONG YI baada ya kuipuuza kwa muda mrefu sana licha ya kuwa recommended kwa muda mrefu sana.

Hii ni baada ya kukosa series za maana.
 
😂😂😂😂😂Hayo mavazi yao yanafurahisha sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Numbisa bwana eti ya magauni
Na wanajua kuyaremba na kuyatunza yasichezewe kwa style za kisasa mfano kuwa kimini au mabega wazi
Sema Hanbok bwana[emoji23][emoji23]


Anyway navutiwa nao sana wakiwa katika hili vazi tofauti na wakivaa kisasa View attachment 2236900View attachment 2236899View attachment 2236898View attachment 2236901
View attachment 2236907View attachment 2236906
 
Back
Top Bottom