Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Vip zinautoto? Binafsi romance zenye utoto siangalii au nikute main characters comedians au maboya maboya kama zina hizi sifa niambie tu nisijisumbue kuchekiWapenzi wa romance drama kuna hizi nzuri
Just between lovers,
Shooting stars,
Dali and the cocky prince,
Kuna be melodramatic though hii inajikita zaidi na maisha na mambo yake kama huzuni,confusion,kuachwa na kupendana!
Naomba file boss
Ni PMNaomba file boss
Haina utoto,especially hii just between lovers yani very nice storyVip zinautoto? Binafsi romance zenye utoto siangalii au nikute main characters comedians au maboya maboya kama zina hizi sifa niambie tu nisijisumbue kucheki
Asante mkuu nitaichekiHaina utoto,especially hii just between lovers yani very nice story
Kaangalie adi mwisho ikikuboa ntakulipa bando lako mkuu🤣🤣🤣🤣
Hii wiki nimekomaa nayo hatimaye nimeimalizahii bang won nipo episode ya 7 apa
ila story yake inaenda taratibu sana
Walah una moyo. Halafu nimetokea kuipenda nkiri kwa sababu ya mb chache ila drama nyingi hamna hata zile common mfano father is strange haipoNapenda drama za grim reapers Nipo na Tomorrow
Japo sipendi kufatilia on going drama ila mara moja moja huwa nanasa kwenye mtego kama our blues,its beautiful now(ndo kwanzaaa ipo episode 20 kati ya 50),Bravo my life(ipo episode 40 kati ya 56)
Walah una moyo. Halafu nimetokea kuipenda nkiri kwa sababu ya mb chache ila drama nyingi hamna hata zile common mfano father is strange haipo
Yeah ni rahisi sana kupakua nimejikuta naisahau kabisa kimoiNkiri nzuri hasa walivyozipanga episode kazi ni kuclick na kukwepq matangazo.
Naona wanaweka kidogo kidogo ukisoma comments humo wengi wanaomba kuwekewa drama mbali mbali.
Sema KIMOI wana series nyingi kuliko Nkiri, kwamfano niliitafuta Dong Yi sikuipata ila Kimoi ipo.Yeah ni rahisi sana kupakua nimejikuta naisahau kabisa kimoi
Mimi nikiingia nkiri nisipoikuta drama naachana nayoSema KIMOI wana series nyingi kuliko Nkiri, kwamfano niliitafuta Dong Yi sikuipata ila Kimoi ipo.
Nkiri ukutumia Idm+ ukufika kwenye episodes unachagua option ya "grabber" hii inakusanya download link za episode zote na unapakua kwa single clickNkiri nzuri hasa walivyozipanga episode kazi ni kuclick na kukwepq matangazo.
Naona wanaweka kidogo kidogo ukisoma comments humo wengi wanaomba kuwekewa drama mbali mbali.
Sasa hapo inategemeana na bando lako, sio unakusanya Episode 20 wakati bando ni la kuunga.Nkiri ukutumia Idm+ ukufika kwenye episodes unachagua option ya "grabber" hii inakusanya download link za episode zote na unapakua kwa single click
Sasa hapo inategemeana na bando lako, sio unakusanya Episode 20 wakati bando ni la kuunga.
Nkiri ukutumia Idm+ ukufika kwenye episodes unachagua option ya "grabber" hii inakusanya download link za episode zote na unapakua kwa single click
Apo itabid asubuhiSasa hapo inategemeana na bando lako, sio unakusanya Episode 20 wakati bando ni la kuunga.
KaribuShukrani mkuu huu ujanja mzuri sana.