Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii jana
Screenshot_20220607-085946_HA%20Tunnel%20Plus.jpg
 
Wapenzi wa romance drama kuna hizi nzuri
Just between lovers,
Shooting stars,
Dali and the cocky prince,
Kuna be melodramatic though hii inajikita zaidi na maisha na mambo yake kama huzuni,confusion,kuachwa na kupendana!
Vip zinautoto? Binafsi romance zenye utoto siangalii au nikute main characters comedians au maboya maboya kama zina hizi sifa niambie tu nisijisumbue kucheki
 
Napenda drama za grim reapers Nipo na  Tomorrow

Japo sipendi kufatilia on going drama ila mara moja moja huwa nanasa kwenye mtego kama our blues,its beautiful now(ndo kwanzaaa ipo episode 20 kati ya 50),Bravo my life(ipo episode 40 kati ya 56)
 
Walah una moyo. Halafu nimetokea kuipenda nkiri kwa sababu ya mb chache ila drama nyingi hamna hata zile common mfano father is strange haipo
 
Nkiri nzuri hasa walivyozipanga episode kazi ni kuclick na kukwepq matangazo.

Naona wanaweka kidogo kidogo ukisoma comments humo wengi wanaomba kuwekewa drama mbali mbali.

Nkiri ukutumia Idm+ ukufika kwenye episodes unachagua option ya "grabber" hii inakusanya download link za episode zote na unapakua kwa single click
 
Back
Top Bottom