Mweh[emoji1787]Yani nilikuwa naona uvivu kuandika list hahahah
Hold on (tamka kwa kikorea). Ndoa ipi?Ka kijana napenda lips zake tu. Nilianza kumuona kwenye drama ya blood ikakolezwa zaidi na vituko vya ndoa yake.
ila lee min ho tangu aende jeshini kuna style zake zimepotea. Vijana walikua wanatembea kwa mbwembwe za kutikisa vichwa eti kikauzu zaidi.
Natafuta aliyeangalia panchiko akaimaliza maana hata haieleweki
Changkama 😂Hold on (tamka kwa kikorea). Ndoa ipi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetishaChangkama [emoji23]
Humu wakorea tumo wengi sana😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umetisha
Hold on (tamka kwa kikorea). Ndoa ipi?
Naomba kujua jina la movie hii wakuu. Niliona mtandaoni jana watu wanasema ni movie nzuri sana na wanasema inarushwa kwenye TV ila sijajua jina lake.
View attachment 2260448
Hahaha kumbe ndio huyu, nimecheka hapo kwenye nipples [emoji1787][emoji1787][emoji1787]On March 11, 2016, Koo was confirmed to be dating her Blood co-star Ahn Jae-hyun since April 2015. The couple officially registered their marriage at the Gangnam district office on May 20, 2016, and married on May 21, 2016.
In a statement issued after the decision came out, the couple's legal representatives said, “Ahn Jae-hyun and Ku Hye-sun came to an agreement to settle for divorce through mediation on July 15, 2020,” according to SBS News. “The two will each walk on their own paths, and they will wish the best for each other's future.
Hye-sun met her former husband Jae-hyun on the set of the drama Blood in 2015 and they got married in 2016. News of the divorce first broke on Aug 18, 2019, with Hye-sun accusing her ex-husband of gossiping about her and cheating on her. She also claimed that he asked for a divorce as he didn't find her nipples sexy
Nimefurahi kumuona Bae Suzy.Weekdays food
Uncontrollably Fond
Synopsis
When Shin Joon-Young (Kim Woo-Bin) and No Eul (Bae Suzy) were children, they were separated and became heartbroken.
As adults they meet again. Shin Joon-Young is now a top actor and singer. He is intelligent and attractive. No Eul is the PD of documentaries. She values money over justice and kisses up to those with more power than her
Nikiwa nimefika episode ya 54 ya Dong Yi (historical drama), nimevutiwa na uwezo mkubwa sana wa hawa wakorea katika comedy. Series ya miaka 12 iliyopita ila ni kama vile imechezwa jana. Huyo mzee (babake na jamaa aliyecheza jumong) kaupiga mwingi sana.
Nataka nijue jina la huyo askari mfupi mwenye vituko 100, View attachment 2261345View attachment 2261346View attachment 2261347View attachment 2261348
Wakorea hii tabia ya kupendana kwenye settings kisha wanafunga ndoa wanakaa kidogo wanaachana, wataiacha lini sijuiOn March 11, 2016, Koo was confirmed to be dating her Blood co-star Ahn Jae-hyun since April 2015. The couple officially registered their marriage at the Gangnam district office on May 20, 2016, and married on May 21, 2016.
In a statement issued after the decision came out, the couple's legal representatives said, “Ahn Jae-hyun and Ku Hye-sun came to an agreement to settle for divorce through mediation on July 15, 2020,” according to SBS News. “The two will each walk on their own paths, and they will wish the best for each other's future.
Hye-sun met her former husband Jae-hyun on the set of the drama Blood in 2015 and they got married in 2016. News of the divorce first broke on Aug 18, 2019, with Hye-sun accusing her ex-husband of gossiping about her and cheating on her. She also claimed that he asked for a divorce as he didn't find her nipples sexy
Kwa hiyo hii inasaidia nini
Kwa hiyo hii inasaidia nini
Dramas zimenifikisha stage kwa zile za tv siwezi kuangalia kama imetolewa zile icon za television kama sbs,kbs,tvn,mbc,jtbc n.k yaani nikipakua drama haina ile alama huwa nafuta hasa nikizikuta nkiri na kimoitv.
Nikapambana nikapata chimbo jingine huku developer huwa anazichukua Kissasian kabla ya encoding so naenjoy kuona zile logo za tv wakati nazitazama.
Ni web dramas na netflix series tu ndio naridhika nazo kuzicheko kwa kila hali.View attachment 2263827