Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naambiwa hapa Eve ya wiki hii tena itakuwa ni 19+ rated.

Sina moto wa kuitazama sipendi contents zile ukizingatia Seo Yeji sijawahi kumkubali
Man na niko panoja na we nafatilia eve illa ngoma inaanza kuwa tamu kuanzia ep ya 9
 
Kila kitu kilisimamiwa na Netflix, wasingeweza kuweka ukorea wao.
 
Umesema kweli, mimi nikashaona drama ipo Netflix huwa najivuta sana kuiangalia.
 
Tupo wengi kumbe. Ila nasikitika umeshuka kwenye behewa la ha tunnel. Naombea mbeleni urudi ikubali kama mwanzo,raha ya mseleleko tuwe wengi
Umesema kweli, mimi nikashaona drama ipo Netflix huwa najivuta sana kuiangalia.
Umesema kweli, mimi nikashaona drama ipo Netflix huwa najivuta sana kuiangalia.
 
"Lakini kwa sisi ambao tushaangalia original..."

Wewe na nani mwingine? Anyway wamejitahidi.
 
Umagharibi kwenye series za kikorea kule NETFLIX, angalia hata ile "all of us are dead" kuna kauli za matusi mule mpaka huwezi amini kama wale ni wakorea[emoji1].

https://jamii.app/JFUserGuide you...Asshole...Bitch..motherfucker, tena kama hilo neno "https://jamii.app/JFUserGuide you" ilikuwa ni kama salamu, kila anaekasirishwa basi ni lazima aseme hivyo.
 
Si unanunua tu simu nyingine kwa ajili ya kudownload bureee. Tecno na infinix zina urafiki mkubwa na miseleleko kisha tupia ttcl mambo yanajiweka sawa
Mimi huo mseleleko umenipita tangia uanze, hii ni kutokana na line inayotakiwa.

HONGERENI.
Hapo tu ndo wanaharibu bora waendelee na aigooo zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…