Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kila kitu kilisimamiwa na Netflix, wasingeweza kuweka ukorea wao.
orijino sijawahi iangalia ila hii ya korea nimevuta episode mbili ,sijaipenda hapo kwenye umagharibi,wangeiweka kivyao(kikorea) ila nadhani masharti ya Netflix na copyrights yaliwabana.. Asilimia kubwa za korean drama zenye nembo ya netflix huwa sizielewi hazina ladha kama zenye nembo za tv za kikorea
 
Umesema kweli, mimi nikashaona drama ipo Netflix huwa najivuta sana kuiangalia.
 
Tupo wengi kumbe. Ila nasikitika umeshuka kwenye behewa la ha tunnel. Naombea mbeleni urudi ikubali kama mwanzo,raha ya mseleleko tuwe wengi
Umesema kweli, mimi nikashaona drama ipo Netflix huwa najivuta sana kuiangalia.
Umesema kweli, mimi nikashaona drama ipo Netflix huwa najivuta sana kuiangalia.
 
Huyu rafiki yangu hana bahati na wanawake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanawake anaokuwa nao ni ngumi mkononi (strongest delivery man & Reply 1988)
images.jpg
 
For me sijaipenda siwezi kuangalia kitu ambacho kipo copy and paste sijui hapo unaangalia kitu gani, kwa mtu ambaye ajaicheki money heist original hii ataipenda lakini kwa sisi ambao tushaangalia original yake tulitegemea angalau hii ya kikorea igebadilika kidogo ili ilete mvuto kwa watazamaji lakini hola
"Lakini kwa sisi ambao tushaangalia original..."

Wewe na nani mwingine? Anyway wamejitahidi.
 
orijino sijawahi iangalia ila hii ya korea nimevuta episode mbili ,sijaipenda hapo kwenye umagharibi,wangeiweka kivyao(kikorea) ila nadhani masharti ya Netflix na copyrights yaliwabana.. Asilimia kubwa za korean drama zenye nembo ya netflix huwa sizielewi hazina ladha kama zenye nembo za tv za kikorea
Umagharibi kwenye series za kikorea kule NETFLIX, angalia hata ile "all of us are dead" kuna kauli za matusi mule mpaka huwezi amini kama wale ni wakorea[emoji1].

https://jamii.app/JFUserGuide you...Asshole...Bitch..motherfucker, tena kama hilo neno "https://jamii.app/JFUserGuide you" ilikuwa ni kama salamu, kila anaekasirishwa basi ni lazima aseme hivyo.
 
Si unanunua tu simu nyingine kwa ajili ya kudownload bureee. Tecno na infinix zina urafiki mkubwa na miseleleko kisha tupia ttcl mambo yanajiweka sawa
Mimi huo mseleleko umenipita tangia uanze, hii ni kutokana na line inayotakiwa.

HONGERENI.
Hapo tu ndo wanaharibu bora waendelee na aigooo zao
Umagharibi kwenye series za kikorea kule NETFLIX, angalia hata ile "all of us are dead" kuna kauli za matusi mule mpaka huwezi amini kama wale ni wakorea[emoji1].

JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you...Asshole...Bitch..motherfucker, tena kama hilo neno "JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you" ilikuwa ni kama salamu, kila anaekasirishwa basi ni lazima aseme hivyo.
 
Back
Top Bottom