Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Faith
Doctor stranger
The heirs
Boys over flower
City hunter
Pinocchio
Two weeks
Moonlover
I hear your voice
Goodbye Mr black.
(Namkubali Sana leeminho,,leejongsuk,,na yule wa kwny moonlover
 
Ni nzuriiiiiii napenda wale wazee wanavyomfundisha binti jinsi ya kumseduce jamaa [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Bonge la series.
We Nifah ile muvi yako ile khaa[emoji85] [emoji85] af haina kingine cha maana zaidi ya ule ufirauni
 
Hahahaha Nifah umetisha...12hrs! So far sina kitu mpya na ile uliyoniambia bado sijapata saa hii nafikiria nirudie bad guy...karibu
Yani vitu vipya vimekuwa adimu sana.
Ngoja nikimaliza hizi nilizonazo nitaangalia hiyo bad guy.

Eeeeh,mimi nikianza hizi mambo huwa nakuwa zaidi ya mwehu!
Zamani nilikuwa nikipata series kali nakumbuka My Young Wol The Spy nilipika chakula cha wiki nzima nikaweka kwenye friji ni mwendo wa kupasha tu.
Hahahah 2014 hiyo.
 
Hahahaha kiporo wiki nzima umenikumbusha mbali sana, hapo naona nature call ndio ilikuwa inakunyanyua kny kochi na wakati wa kulala. Huyu dada aliyeigiza spy myung-wol Han Ye- seul nilimuona tena kwenye birth of beuty alifanya vema sana. Unaangalia ipi sasa?
 
Hahahaaaaaaaa umejuaje?Tena nilikuwa najibana hata kunywa maji ili nisisumbuke kwenda toi kila mara.

Bado nipo na fated to love you,si ni wewe ulinipa pendekezo?
Nikimaliza hiyo nitacheki na nyingine nimeisahau kidogo ila nimepewa pendekezo kwenye thread hiihii...nitaitafuta.
 
Hahaha hata maji tena! Ungeendelea hivyo drip ingekuhusu lol....sasa fated to love you unaionaje? Kwenye vicheko vya huyo mkaka tu ndio ilikuwa inaniudhi kdg, endelea kuenjoy ila ulale mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…