Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakorea waongo et jamaa kafungwa kitambaa cheusi machoni lakini kalenga mshale on point. Siliazly??
Ha ha haaaaaa,
That is skills Kaka,
Kuna yule aliabiwa kua Ngumi au Panga hutakiwi kulikwepa kwa kuliona, bali kulihisi. So nae akafungwa macho akawa anapigana.
Huyo wa mishale ni kua anatazama kwanza target yake kisha anai-feed kwenye mind yake ndo anapiga mishale kwa kulenga taswira iliyoko kwenye mind, sio machoni.
 
I was just kidding. Nimechek Korean movies kibao gumiho,jumong,boys b4 flower, n.k ila sio mpenz kiivo
Ila their best in series.
 
Mkuu hiyo ni historical bila shaka.
Vipi ina episodes ngapi?
Asante sana,nikimaliza fated to love you nitacheki na hiyo.
Kama vipi niongezee list nyingine.
Ni historical, thriller, action. Ni ndefu maana nakumbuka nilitumia zaidi ya wiki kuimaliza japo nilitumia zaidi ya 5 hours/day.
 
Huwezi amini katika 24hours nalala saa 2, ukiongeza na masaa mawili ya kula, muda unaobaki Ni series hadi iishe ndo napimzika kabla sijaanza nyingine.

Sasa pata picha inakua na episode 81, afu kila episode Ni saa 1!
Ungekuwa ndugu yangu tungekuwa machizi!
Maana mimi nikiamua na hizo series nakuwa mwehu,naweza kula mara moja kwa siku.
 
Huu ugonjwa huu ulitaka nisababishie nidisco chuo
Jummong
Queen.of ambition
Flame of ambition
Empress ki
Empress chuchuu
The angry mom
Three days
Sword and flower
Jackpot
Korean agent
Sky 1
Sky 2
Kim soo
House girl
Iris
Athena
Two weeks
Hero
The gun man
Irlimaje
The return of iljimmae
My girlfriend is guminho
Queen ndam kuna bidam
Beautiful
Nk

Ila kwasasa naona wakorea km bongo movie tuu,hasa zile za mjini mjini..story zinajiludia sana

Ila alie nayo
The gretest king daughter

Inakama ep 108 ndefuu hata king qwangaeto/deukuman haifikiii..nahitaji iNipumzishe wkend
 
Back
Top Bottom