Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mi nilishusha chache alafu sikuitazama siku nimesema niichungulie ah we asubuh ha tunnel ikahusika kumalizia kiporo

Ina vibe flaan hivi
Hmmh, mimi pekeyangu ndo nilishakubali kukamuliwa MB's, nimetoka kuimalia LAST yenye episode 16 (150Mb pre each), kwa bando la hawa wezi.

Sijui kwanini kitonga kinanikataa.
 
Ya magauni

arang and the magistrate

Ya kawaida am not a robot

Kuna mmoja nilimvutia a poem a day. Nilishangaa mwanzo mwisho anacheka tu full burudani kwake

Mimi weekend hii nipo na Thirty nine baada ya kumaliza true beauty. Hebu nitajie drama za kunivunja mbavu
 
Ya magauni

arang and the magistrate

Ya kawaida am not a robot

Kuna mmoja nilimvutia a poem a day. Nilishangaa mwanzo mwisho anacheka tu full burudani kwake
Arang the magistrate niliishia njiani niliangalia episode moja kama mbili, nitajaribu kuirudia. I'm not a robot nimeiona....nimeingia soompi nimeona wanazengo wengi wameitaja Chief Kim
 
Arang niliipenda sababu ya mambo ya wafu napenda kuwaona wafu wa kikorea na vituko vyao. Mfano wa drama za wafu hi bye mama,arang and the magistrate,bring it on ghost etc

[emoji16][emoji16][emoji16] ni kweli wana vituko Sana, kati ya hizo nimeiona bring it on ghost. Hi bye mama sikuwahi kujua kama ina mambo hayo
 
Kwamba mtandaoni haipo?
Sio kwamba haipo mtandaoni bali Asimilia kubwa hawaijui ipo underrated Sana na wala haina promo huwezi kukuta watu wanaizungumzia mpaka uwe mtu wakubahatisha ndio utaipata hata ukiandika google best 20 korean drama huwezi kuikuta ila ukibahatika kuiyona ndio utashangaa kwanini isiwepo kwenye hata 10 best korean drama ni drama ambayo ina story Kali na yenye akili na actions nzuri.
 
Umemsahau inno kila drama anayoangalia anahisi yeye ndo wa kwanza kuigundua na kuiangalia. Kasahau watu wanapata habari kabla hata haijashutiwa na kuisubiria kwa hamu pindi tu inapoachiwa kideoni
[emoji16][emoji16][emoji16] namshangaa, watu wanaijua drama kabla hata wachezaji wa hiyo drama hawajapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…