Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bado sijaimaliza,ilianza vizuri stori ya binti bikra(tena aliapa kanisani atajitunza mpaka aolewe)akajikuta ana mimba baada ya dokta kuchanganya madesa badala ya kukagua bikra akapandikiza mbegu,sasa wengi tulitarajia mwendelezo wa stori ila muandishi akachanganya madesa anayoyajua yeye mpaka ikachosha. Ngoja niende nayo mpaka mwisho
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maadam umeshaianza imalizie tu ila kweli mwanzoni ilikuwa hot sana. Raphael nimejikuta natafuta drama yake nyingine...nimeangalia my secret romance nimeona kero tu nayo. Sasa hivi nipo navunjika mbavu na Yumi's cells
 
😂😂😂napambana nayo maana nilikua naangalia heard it through the grape vine drama nilipoianza niliiona tamu ili mbeleni ikanichosha na nimeshavuta yote nikatafuta kituo cha kumpumzikia ( woori). Yumi nasubiria iishe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maadam umeshaianza imalizie tu ila kweli mwanzoni ilikuwa hot sana. Raphael nimejikuta natafuta drama yake nyingine...nimeangalia my secret romance nimeona kero tu nayo. Sasa hivi nipo navunjika mbavu na Yumi's cells
 
[emoji23][emoji23][emoji23]napambana nayo maana nilikua naangalia heard it through the grape vine drama nilipoianza niliiona tamu ili mbeleni ikanichosha na nimeshavuta yote nikatafuta kituo cha kumpumzikia ( woori). Yumi nasubiria iishe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah hiyo drama ina jina refuu... Mimi nimeshindwa kuvumilia nimeona nianze tu. Nilikuwa naangalia true beauty nimerukia yumi , nitairudia ninavyosubiria yumi iishe
 
😂😂😂😂😂😂mambo ya akina chaebol vs maskini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah hiyo drama ina jina refuu... Mimi nimeshindwa kuvumilia nimeona nianze tu. Nilikuwa naangalia true beauty nimerukia yumi , nitairudia ninavyosubiria yumi iishe
 
Zicheki hizi

1. The last inahusiana na jamaa mmoja aliyekuwa muhasibu anasingiziwa ameiba hela za organization inapelekea jamaa kukimbia akitafutwa na mapolisi pamoja na matajiri walioweka mpunga hapo anajikuta anaanguka kiuchumi imagine ulikuwa unaishi maisha ya kifahari gafla unajikuta unaishi maisha ambayo ujawahi kuyaota wala kuyaishi .Humo ndani kuna mkono pamoja na matumizi ya akili ni bonge Moja la drama
2.innocent defendant - Hii ni Kali kuliko zote yaani kwangu ndio drama yangu Bora kuliko zote nilizowahi kuangalia ipo kama Prison break lakini ina story tofauti na Prison break ipo very unique na inamatukio ambayo hayataniriki kila episode inapoisha inakupa hamsa yakucheki next episode nayo ina ngumi pamoja na matumizi ya akili kwenye mikakati ni aina ya drama ambayo adui pia kapewa nguvu kubwa na mwandishi sawa na sterling tofauti na movie nyingi zilivyo ndio maana imeleta msisimuko
3.k2
4.whisper

Shukran Boss. K2 nimeicheck, nitazitafuta hizo nyingine [emoji1431]
 
Nilichogundua hizi kdrama ukitaka usipoteze bando lako kudownload ingia google then ukishatype jina la series unayotaka zitakuja sites kukuonyesha hiyo series na yaliyomo sasa wewe angalia IMDB,hii site ni watazamaji wengi wa nchi mbalimbali wanarate hiyo series kama kali au lah,ukikuta series ina 5/10 au 6/10 imdb ujue hiyo itakua magumashi,ukiikuta ina 7,8,9 jua hiyo utaipenda tu as story yake kali!
Ukitaka kuprove andika jina la series ulopenda afu uone ratings zake kule imdb
Mfano hii the blues ina 8.4/10 wakati woori the virgin ina 5.4/10!
So mimi hii imdb huwa inasadia sana kutokudownload series mbovu,though sio always but itakufaa asilimia nyingi!
 
Ni kweli ila drama nyingine zipo underrated na nyingine ziko overrated hivyo unaweza kujikosesha mambo mazuri na binadamu tuna taste tofauti, drama kupendwa na wengi sio guarantee kuwa na wewe utaipenda. Mfano mimi kwenye Hwarang, Goblin, Legend of the blue sea, Reply 1988 n.k sikuona maajabu licha ya kwamba hizo drama ratings zake zipo juu. Mimi nikitaka drama huwa naingia Wikipedia tu Synopsis inaniambia hii drama niangalie au niweke kiporo.
 
Wengine Imdb yetu ilikua ni Dae akitoa recommendation imoo

Baada kuwajua wasanii kuna ambao nitatizama tu wakitoa kama baby jang hyuk

Na kuijua soompi mambo mterezo.
 
Mimi sio mfuatiliaji wa ost kwenye drama ila hii Nightfalling ya kwenye Yumi ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Hivi unavyoipamba yumi [emoji45][emoji23]
Imebid nianze kuipakua muendelezo

Mambo ya sizitaki mbichi hizi[emoji1787][emoji1787]
Nilitazama kwa jicho la bias nahis nina feelings na woong bado
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado hujamuvu on pole...mimi nampenda jinyoung jamani hivi hapa nimepita insta huko nimeona kitu kimoja cha kijinga sina hamu hata ya kupakua episode zilizobaki
 
[emoji15][emoji15] naomba nisipite huko

Kama sio uchoko maana nao sikuhizi

Ngoja nitazame mie
 
Back
Top Bottom