Nilichogundua hizi kdrama ukitaka usipoteze bando lako kudownload ingia google then ukishatype jina la series unayotaka zitakuja sites kukuonyesha hiyo series na yaliyomo sasa wewe angalia IMDB,hii site ni watazamaji wengi wa nchi mbalimbali wanarate hiyo series kama kali au lah,ukikuta series ina 5/10 au 6/10 imdb ujue hiyo itakua magumashi,ukiikuta ina 7,8,9 jua hiyo utaipenda tu as story yake kali!
Ukitaka kuprove andika jina la series ulopenda afu uone ratings zake kule imdb
Mfano hii the blues ina 8.4/10 wakati woori the virgin ina 5.4/10!
So mimi hii imdb huwa inasadia sana kutokudownload series mbovu,though sio always but itakufaa asilimia nyingi!