[emoji16][emoji16][emoji16] nani amekuambia huwa tunatafuta drama kwa njia hiyo? Hiyo njia labda wanaitumia beginners sio kwa sisi ma-pro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio kwamba haipo mtandaoni bali Asimilia kubwa hawaijui ipo underrated Sana na wala haina promo huwezi kukuta watu wanaizungumzia mpaka uwe mtu wakubahatisha ndio utaipata hata ukiandika google best 20 korean drama huwezi kuikuta ila ukibahatika kuiyona ndio utashangaa kwanini isiwepo kwenye hata 10 best korean drama ni drama ambayo ina story Kali na yenye akili na actions nzuri.
Hao wanafanya hivyo ni magwiji wabobeziUmemsahau inno kila drama anayoangalia anahisi yeye ndo wa kwanza kuigundua na kuiangalia. Kasahau watu wanapata habari kabla hata haijashutiwa na kuisubiria kwa hamu pindi tu inapoachiwa kideoni
Nyie siwawezi ni wakongwe kabisa mmefika mbali mpaka mnajua maisha ya waigizaji na majina yao kabisa wakati mimi najua wawili majina yao ha ji won na lee min ho the rest sijawakariri majina yao ebu tupeni siri ya kuzijua drama Kali mnatumia njia gani? Sisi wengine hatuna muda mrefu tujue[emoji16][emoji16][emoji16] nani amekuambia huwa tunatafuta drama kwa njia hiyo? Hiyo njia labda wanaitumia beginners sio kwa sisi ma-pro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] I was just bluffing wenyewe wanasema, sina ugwiji wowote. Ningekuwa gwiji si ningeangalia bila subtitle [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie siwawezi ni wakongwe kabisa mmefika mbali mpaka mnajua maisha ya waigizaji na majina yao kabisa wakati mimi najua wawili majina yao ha ji won na lee min ho the rest sijawakariri majina yao ebu tupeni siri ya kuzijua drama Kali mnatumia njia gani? Sisi wengine hatuna muda mrefu tujue
Ila umepiga hatua ukilinganisha na mimiMkuu[emoji16][emoji16][emoji16] I was just bluffing wenyewe wanasema, sina ugwiji wowote. Ningekuwa gwiji si ningeangalia bila subtitle [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We acha tu, nilitaka nipakue forecating love and weather nimeenda kimoi inaleta errorNkiri down daah hii site inapokea mashambulizi mengi
Hii ipoje mkuu na ni kuanzia mda gan, je ni yenyewe tu direct au ni kupitia vpn flanungaga ttcl ile ya asubuh
We acha tu, nilitaka nipakue forecating love and weather nimeenda kimoi inaleta error
Yaani nkiri ndio mkombozi wa wanyonge mimi wamenilemaza kusubiria episode moja ipakue mbs zaidi ya 150 nashindwa kabisaYaani nshazoea kuzikuta ongoing pale juu kazi kuvuta moja moja mpaka itakapofikia mwishoni. Kesho jaribu tena kule kimoi inaweza kubali
Yaani nkiri ndio mkombozi wa wanyonge mimi wamenilemaza kusubiria episode moja ipakue mbs zaidi ya 150 nashindwa kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani acha tu sijui hata tuliwezaje mimi nilikuwa napakua telegram ila siku hizi walah nashindwa kabisa. Nkiri warudi jamani nimepakua episode moja kimoi nimeshindwa hata kuangalia quality mbovuuu wamenifanya niichukie hata drama yenyeweHapo unanikumbusha enzi za mateso ya kissiassian,dramacool.dramanice,daebackdrama hadi najiuliza niliwezaje kusubiria kushusha episode za mb 200,300 hadi 500 tena usiku kucha kwa bando la halotel. Napo nilikua navuta hadi family dramas
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nasemaga korea huwezi kufa na njaa, unaweza kukosa pesa ya kukufanya uishi vizuri ila kula huwezi kukosa. Part time jobs naona kama zipo nje nje tuIla wakorea wana ajira nyingi za ajabu ajabu. kwenye my daughter seo young nimeona mbaba kapata part-time job ya kwenda msibani kavaa nadhifu akifika nje anapewa hela kwenye bahasha kisha anaelekezwa kwenye msiba husika anatoa pesa hio kama pole pale mlangoni anasaini kitabu cha maombolezo na kuwapa pole wafiwa kisha anaenda kula na kukaa kwa muda aliopangiwa halafu analipwa pesa ya ajira hio. Hii ni kuonyesha msiba umefana kweli kweli
Ya pili akapata ya kwenda harusin kama mualikwa anatakiwa akae upande wa matajiri pasionekane hawana watu,apige makofi,kucheka pale panapotakiwa,msosi autandike wa nguvu mwishoni analipwa. Huyu mbaba akaenda kwenye hio harusi ya machaebol ile maharusi wanaingia akageuka kwa furaha na makofi juu ee kumbe bibi harusi ni binti yake(baba maskini na binti kadanganya kwa wakwe kuwa yeye ni yatima,halafu kwa baba yake alimdanganya anaenda kusoma ulaya)Baba mtu pozi likamuisha akabaki mkiwa hana la kufanya zaidi ya kumalizia part time yake.
Nyingine ya kwenda hotelin kama mgeni na mabegi huku ukisifia uzuri wa vyumba na ubora wa huduma ili kuongeza wateja hotel husika
KissAsian ina tatizo gani?Hapo unanikumbusha enzi za mateso ya kissiassian,dramacool.dramanice,daebackdrama hadi najiuliza niliwezaje kusubiria kushusha episode za mb 200,300 hadi 500 tena usiku kucha kwa bando la halotel. Napo nilikua navuta hadi family dramas
Mb zake zilivyo nyingiKissAsian ina tatizo gani?
Mbona ndiyo site yangu pendwa ya kushusha mavitu heavy heavy!
KissAsian ina tatizo gani?
Mbona ndiyo site yangu pendwa ya kushusha mavitu heavy heavy!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nasemaga korea huwezi kufa na njaa, unaweza kukosa pesa ya kukufanya uishi vizuri ila kula huwezi kukosa. Part time jobs naona kama zipo nje nje tu
Kwenye hizo, migahawa, bar, cafe sema inaonekana watu wanaofanya hizo kazi wanadharaulikaNa wanafunzi wa kule wamejua kuzichangamkia zile za mini supermarkets wanapiga pesa za kutosha.