Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sio kwamba haipo mtandaoni bali Asimilia kubwa hawaijui ipo underrated Sana na wala haina promo huwezi kukuta watu wanaizungumzia mpaka uwe mtu wakubahatisha ndio utaipata hata ukiandika google best 20 korean drama huwezi kuikuta ila ukibahatika kuiyona ndio utashangaa kwanini isiwepo kwenye hata 10 best korean drama ni drama ambayo ina story Kali na yenye akili na actions nzuri.
[emoji16][emoji16][emoji16] nani amekuambia huwa tunatafuta drama kwa njia hiyo? Hiyo njia labda wanaitumia beginners sio kwa sisi ma-pro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie siwawezi ni wakongwe kabisa mmefika mbali mpaka mnajua maisha ya waigizaji na majina yao kabisa wakati mimi najua wawili majina yao ha ji won na lee min ho the rest sijawakariri majina yao ebu tupeni siri ya kuzijua drama Kali mnatumia njia gani? Sisi wengine hatuna muda mrefu tujue
 
Mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] I was just bluffing wenyewe wanasema, sina ugwiji wowote. Ningekuwa gwiji si ningeangalia bila subtitle [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo unanikumbusha enzi za mateso ya kissiassian,dramacool.dramanice,daebackdrama hadi najiuliza niliwezaje kusubiria kushusha episode za mb 200,300 hadi 500 tena usiku kucha kwa bando la halotel. Napo nilikua navuta hadi family dramas
Yaani nkiri ndio mkombozi wa wanyonge mimi wamenilemaza kusubiria episode moja ipakue mbs zaidi ya 150 nashindwa kabisa
 
Hapo unanikumbusha enzi za mateso ya kissiassian,dramacool.dramanice,daebackdrama hadi najiuliza niliwezaje kusubiria kushusha episode za mb 200,300 hadi 500 tena usiku kucha kwa bando la halotel. Napo nilikua navuta hadi family dramas
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani acha tu sijui hata tuliwezaje mimi nilikuwa napakua telegram ila siku hizi walah nashindwa kabisa. Nkiri warudi jamani nimepakua episode moja kimoi nimeshindwa hata kuangalia quality mbovuuu wamenifanya niichukie hata drama yenyewe
 
Ila wakorea wana ajira nyingi za ajabu ajabu. kwenye my daughter seo young nimeona mbaba kapata part-time job ya kwenda msibani kavaa nadhifu akifika nje anapewa hela kwenye bahasha kisha anaelekezwa kwenye msiba husika anatoa pesa hio kama pole pale mlangoni anasaini kitabu cha maombolezo na kuwapa pole wafiwa kisha anaenda kula na kukaa kwa muda aliopangiwa halafu analipwa pesa ya ajira hio. Hii ni kuonyesha msiba umefana kweli kweli

Ya pili akapata ya kwenda harusin kama mualikwa anatakiwa akae upande wa matajiri pasionekane hawana watu,apige makofi,kucheka pale panapotakiwa,msosi autandike wa nguvu mwishoni analipwa. Huyu mbaba akaenda kwenye hio harusi ya machaebol ile maharusi wanaingia akageuka kwa furaha na makofi juu ee kumbe bibi harusi ni binti yake(baba maskini na binti kadanganya kwa wakwe kuwa yeye ni yatima,halafu kwa baba yake alimdanganya anaenda kusoma ulaya)Baba mtu pozi likamuisha akabaki mkiwa hana la kufanya zaidi ya kumalizia part time yake.

Nyingine ya kwenda hotelin kama mgeni na mabegi huku ukisifia uzuri wa vyumba na ubora wa huduma ili kuongeza wateja hotel husika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nasemaga korea huwezi kufa na njaa, unaweza kukosa pesa ya kukufanya uishi vizuri ila kula huwezi kukosa. Part time jobs naona kama zipo nje nje tu
 
Screenshot_20220802-132537.png
 
Hapo unanikumbusha enzi za mateso ya kissiassian,dramacool.dramanice,daebackdrama hadi najiuliza niliwezaje kusubiria kushusha episode za mb 200,300 hadi 500 tena usiku kucha kwa bando la halotel. Napo nilikua navuta hadi family dramas
KissAsian ina tatizo gani?

Mbona ndiyo site yangu pendwa ya kushusha mavitu heavy heavy!
 
Mb zake nyingi hivyo inachelewa kuvuta episode za kutosha. Pili links zake zinawahi kuexpire yaani mtandao ukikata ukarudi utashangaa drama iliyokua inakaribia kufika mwisho kudownload inaanza upya au inagoma inabidi urudi hatua za mwanzo. Nkiri na kimoi unaweza kuweka kiporo wiki nzima
KissAsian ina tatizo gani?

Mbona ndiyo site yangu pendwa ya kushusha mavitu heavy heavy!
 
Na wanafunzi wa kule wamejua kuzichangamkia zile za mini supermarkets wanapiga pesa za kutosha.

Back
Top Bottom