Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahaa umenikumbusha mbali sana, Defendant hii drama ilikuwa inanifanya nichelewe kuamka kwenda kwenye mihangaiko kipindi naifuatila. Naam ni drama nzuri sana, iko poa kabisa.

Tofauti na userious wake humo ndani kuna raia wana vituko. Oh Dae Hwan, Jo Jae Ryong, Jo Jae Yun na Yun Yong Hyeon hizi njemba zilikuwa zinaukosha moyo wangu ipasavyo. Oh Dae Hwan jamaa alikuwa na ujinga ujinga sana.

Hii drama ni burudani sana na inafundisha sana humo ndani kuna funzo kubwa mno hasa kwenye upendo katika koo zetu, nilipenda sana vile Kang Sung Min alivyo kuwa akimpenda anko wake Shin Rin Ah.

Hahahaa mwamba umenikumbusha mbali sana.
 
Mb zake zilivyo nyingi

Alafu hata ukishusha 480p ubora haufikii wa nkiri sometimes
Mie dramanice ilikua ndo kwangu ila siwez tizama drama humo tena


Sasa nilowatambulisha nkiri jana simu tu eti mbona haipo hewani hahahah

Mwenye ilibid niifunge na ha tunnel yenyew pozi lilikata

Asubuh bdo hiyoooo tuendelee na side business ya kudownload movie hata hatujui tutatizama lin

Fighting[emoji1421]
 
Mkuu nope korean drama Kali nicheki weekend maana zangu nimeshazimaliza
 
Yes nkiri wako moto.. quality nzuri, mb chache na rahisi kupakua. Warudi tu upesi jamani mimi leo nimejikaza nimepakua kimoi sijui ubora wake utakuwaje
 
😂😂😂😂😂😂Kamekua ka ugonjwa sasa mtu unadownload tu hujui utaangalia lini
 
1. Doctor Lawyer

2. Insider

3. Bulgasal Immortal Souls

4. The Gangster, The Cop, The Devil

5. Carter, hii bado haijatoka, ila inatoka kesho kutwa yaani Agosti 5, 2022. Ni bonge la dude mi mwenyewe nasubir

Kwa wakati huu anza na hizo 4, hizo kazi zote ziko poa sana. Zicheki kisha utanipa mrejesho

Mkuu nope korean drama Kali nicheki weekend maana zangu nimeshazimaliza
 
Asante mkuu
 
Huwezi amini binadamu haturidhiki,hata muda huu mseleleko ukikata tu napatwa na sonona utadhani sina akiba ya kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kabisa ile Nov vifurushi vimepanda na ha tunnel siijui aah nlikua nafaunga safar kweny ofis za wenyew kupata wi-fi hahah na stock ilikuwepo


Ni maradh haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…